Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania