CHADEMA yaingia zama za kuengua, kusimamisha na kufukuza wanachama wake kama vibaka

Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.

Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.

Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.

Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu ufungue kijiwe cha uganga, hizi ramli sio mchezo
 
Umetumwa
 
Kama kitu cha namna hii kitakuja kutokea, itakuwa ni baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kuwa umepita
 
Msingi mkuu wa Chadema ni siasa ngumu, siasa za kiharakati. Hizo ndizo siasa zilizoifanya Chadema ikapendwa na watu. Siasa za kistaarabu ndizo zilizoiharibu chadema na siasa hizo ni matokeo ya ujio wa Lowasa. Ndio maana sisi wengine tulisema, anguko la chadema lililopelekea bwana Mbowe kushindwa uchaguzi, ni matokeo ya Ujio wa Lowasa uliopelekea chama kusaliti Mifumo na siasa zake, na ku adopt siasa za CCM( Lowasa).
Acha upotoshaji gentleman,

hapajawahi kua na siasa ngumu Chadema gentleman na hayupo wa kufanya siasa ngumu Tanzania, unless mjipe tu jina la siasa ngumu 🐒
we ni mtumwa gentleman karne hii ya sayansi na technolojia?🐒
 
kwahiyo gentleman,
ukiwa mahali kimwili kiroho na kiakili unakua haupo right?🤣

kwahiyo gentleman,
unataka kusema kuna watu hapa wapo Tanzania kimwili lakini kiroho na kiakili wako ubelgiji?au?🤣
I know you spinning doctor, ila msiyempenda kaja, siasa za uchawa zipo hatarini sasa, mama yenu ajipange upya, ila sikulaumu kupambana kulinda ugali wako!
 
Wale covid 19 wakae mguu sawa
Bora waende ccm moja kwa moja

Ova
 
Kama kitu cha namna hii kitakuja kutokea, itakuwa ni baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kuwa umepita
ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yangu hayo ya kitaalamu itakusaiadia sana kuongeza ufahamu na uelewa juu ya masuala haya ya siasa za ndani ya Chadema 🐒
 
Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.

Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.

Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.

Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Utakuwa ni mchawi.
 
Cde Tlaatlaah
Siku zote maono au utabiri wako huwa Unafeli sijui kwann?
Ulianzia na Boni Yai uenyekiti kanda ya Pwani ulimtabiria hatoshinda lakini akashinda na Tundu Lissu siku zote ulikuwa unamtabiria hatoshinda lakini matarajio yako yamekuwa sivyo. Nini shida comrade?
 
I know you spinning doctor, ila msiyempenda kaja, siasa za uchawa zipo hatarini sasa, mama yenu ajipange upya, ila sikulaumu kupambana kulinda ugali wako!
Gentleman,
nani hapendwi na nani mathalani?

mimi ni apostle,
na upendo ndio amri kuu tulioachiwa na Mungu, tupendane tafadhali licha ya tofauti za mirengo na mitazamo, jambo ambalo ni la kawaida sana kwa jamii 🐒
 
Cde Tlaatlaah
Siku zote maono au utabiri wako huwa Unafeli sijui kwann?
Ulianzia na Boni Yai uenyekiti kanda ya Pwani ulimtabiria hatoshinda lakini akashinda na Tundu Lissu siku zote ulikuwa unamtabiria hatoshinda lakini matarajio yako yamekuwa sivyo. Nini shida comrade?
Gentleman,
mimi sijawahi kushindwa masuala ya kifalsafa. Impact ya chambuzi za za kisiasa kitaalamu huhiti akili na moyoni mwa anaefuatilia maandiko yangu.

So,
Iwe Yes or No, hawezi kusahau nilishoibua. Hivyo ndivyo nondo za wanasayansi katika siasa hupenetrate katika fikra za wadau.

Inakua ni kama hukumu iliyovutia umma na wanasheria na kuifanya reference hata wahadhiri wanapotoa lectures huko mavyuoni.

So, sijutii, bali najivunia
falsafa yangu ya kipekee sana na kwakweli impact yake ni kubwa mno kwa wadau na wachambuzi wabobevu mballimbali wa masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi humu nchini 🐒
 
Mwenyewe kiti wetu yupo vizuri bwashee 😁😁😁
ni mapema mno gentleman kueleza mambo haya jumla jumla ni vizuri kutoa nafasi kidogo ya kujipanga na pengine kutoa uelekeo 🐒
 
Back
Top Bottom