min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
π visungura tuwaachie kina ukuta wa yeriko kwa sasa gentleman πusithubutu kutumia visungura gentleman π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π visungura tuwaachie kina ukuta wa yeriko kwa sasa gentleman πusithubutu kutumia visungura gentleman π
acha upotoshaji na uzingatie hoja mahususi mezani gentleman π
Muda unatumia kuandika hizi pumba ungeutumia kulima bustani ya mbogamboga.Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
nipo shambani gentleman πMuda unatumia kuandika hizi pumba ungeutumia kulima bustani ya mbogamboga.
Sasa Imekuwaje unaanza kupiga ramli mapema hivi wakati Chadema wenyewe wametulia?Gentleman,
masuala ya kishirikiana hayana nafasi katika mambo haya muhimu ya kisiasa π
Kwann Mbowe kashindwa pamoja na Kumpigia kampeni za Kutosha??nipo shambani gentleman π
hata wewe ungetumia muda mrefu sana unatumia kunifuatilia ungefika mbali sana kiuchumi gentleman ,
hata hivyo,
bado manufaa ni makubwa sana utayapata mathalani kuongeza uelewa na ufahamu juu ya masuala haya ya siasa.
well done gentleman and welcome π
Gentleman,Kwann Mbowe kashindwa pamoja na Kumpigia kampeni za Kutosha??
Uni tag basi Comrade ukijibuGentleman,
ni mapema mno kwa mtaalamu kueleza au kujibu swali lako muhimu. ni muhimu kuchukua muda kidogo na kutathmini hatua za tangu mwanzo na kubaini wapi changamoto ilitokea na ndipo naweza kueleza jambo hilo π
Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Chadema ni njema hakuna shida yeyote, utaendelea kusubiri embe chini ya mpapaisasa gentleman unaniletea ushirikina hali yakua unajua kabisa mimi ni apostle?
siwezi kubabaika nao unless una jambo jengine π
Kazi najua imeisha,rudi nyumbani ukaangalie mambo mengini ila uwadai pesa ya kuletwa chadema kwa mkopo kwa kampeni ya ulee upande wenu.Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Post zako ni definition ya funza kichwani rejea takataka inazoandika kama sio zao la funza! Nadhani you are a great loss in your entire family and clan. Your father would have ejerculated you through masterbationRelax bas gentleman kama kweli huna funza kichwani π
Akili ndio kitu huna......nipo shambani gentleman π