CHADEMA yaingia zama za kuengua, kusimamisha na kufukuza wanachama wake kama vibaka

Tulia dawa ikuingie, hivi unadhani chadema Kuna wajinga wajinga kama huko ulipo??nenda kamsaidie mwamba kupangusa machozi
 
Pumzika kuandika propaganda chafu kwa CHADEMA, huoni aibu ulivyoshindwa kwa Lissu?
 
Wataanza na Wenje Kwa mujibu wa Lema 😁😁
 
Mbona kwenye Chama pia kuna watu wamejiengua? Na kuna watu walifukuzwa?

Kwenye siasa hayo ni mambo ya kawaida sana

Kila mwenyekiti anakuja na mpango kazi wake

Hata mwenyekiti wenu ana mpango kazi wake
acha upotoshaji na uzingatie hoja mahususi mezani gentleman πŸ’
 
Relax gentleman,

huna haja ya kubabaika na kuweweseka πŸ’

Mi niweweseke tena? Kwa lipi? Unaweweseka wewe uliekuwa Dodoma na wenzio wanakula mapochopocho ya mama wewe kutwa upo chadema, jf na mlimani city hutulii ukashiba wakati wasira anarudishwa yupooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…