Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Uchambuzi wa kisayansi ππππkwamba ulishindwa kuelewa kabisa maelezo, ufafa na uchambuzi wangu kisayansi ulikua una maanisha nini gentleman ?π
Dah una roho ngumu sana hivi unajisikiaje sasa baada ya yale magazeti yako yote yaliyokuwa yamejaa uzushi na uongo wa mila ainaNi kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Uwe unaona aibu wewe mzee.Haya
kwahiyo dodoma sikuwepo gentleman?π€£Mi niweweseke tena? Kwa lipi? Unaweweseka wewe uliekuwa Dodoma na wenzio wanakula mapochopocho ya mama wewe kutwa upo chadema, jf na mlimani city hutulii ukashiba wakati wasira anarudishwa yupooooo!
Ulikuwepo kimwili na wasanii wengine ila wenzio wanashiba, mwenzao upo bize kuaminisha watu simba ataangushwa, ni busara na uungwana sasa kuacha nature ichukue mkondo wake katika kujenga siasa mpya na mtazamo mpya wa kitaifa na namna na kucope na "msiyemtaka kaja" badala ya kuleta ramli chonganishi hapa! Hujui ya kesho na huna namna ya kujua unakuja kujipa umuhimu hapa eti "zama za kuenguana" achana nazo, kaa chini kunywa maji, relax acha simba aanze kazi zake za kujenga nchi! Hakuhusukwahiyo dodoma sikuwepo gentleman?π€£
na kwani ukiwa Dodoma JF inapotea au sijaelewa? π€£
Gentleman,Dah una roho ngumu sana hivi unajisikiaje sasa baada ya yale magazeti yako yote yaliyokuwa yamejaa uzushi na uongo wa mila aina
Jinga limeingia zama za kuengua akili yake lenyewe. Kashindwa Mbowe linaumia jinga. Na Bado safari matahira kama wewe yote mtapukutika. Jiandae Mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNi kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu hawezi kushinda.π€£pole sana wewe gentleman kwa kutokuelewa mambo ya kisayansi π
kwahiyo gentleman,Ulikuwepo kimwili na wasanii wengine ila wenzio wanashiba, mwenzao upo bize kuaminisha watu simba ataangushwa, ni busara na uungwana sasa kuacha nature ichukue mkondo wake katika kujenga siasa mpya na mtazamo mpya wa kitaifa na namna na kucope na "msiyemtaka kaja" badala ya kuleta ramli chonganishi hapa! Hujui ya kesho na huna namna ya kujua unakuja kujipa umuhimu hapa eti "zama za kuengua" achana nazo, kaa chini kunywa maji, relax acha simba aanza kazi zake za kujenga nchi! Hakuhusu
Hashindi hashindi ameshinda! Huu ni utabiri wa watu kama wewe waliojaza funza kichwani! Kila mnachotabiri kinashindwa na kikishindwa mnakuja na kipya!Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Msingi mkuu wa Chadema ni siasa ngumu, siasa za kiharakati. Hizo ndizo siasa zilizoifanya Chadema ikapendwa na watu. Siasa za kistaarabu ndizo zilizoiharibu chadema na siasa hizo ni matokeo ya ujio wa Lowasa. Ndio maana sisi wengine tulisema, anguko la chadema lililopelekea bwana Mbowe kushindwa uchaguzi, ni matokeo ya Ujio wa Lowasa uliopelekea chama kusaliti Mifumo na siasa zake, na ku adopt siasa za CCM( Lowasa).Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao.
Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio ujasiri miongoni mwa viongozi wake hususani wapya.
Kwa hekima na busara zao viongozi wengi wa chadema katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kitaifa, Kanda, mikoa, wilaya na hata kata wataomba kuachia ngazi na kujiudhulu nafasi zao kuwepa uropokaji na ukosefu wa ustaarabu kwenye uongozi wa juu.
Kama mdau wa siasa, ukizingatia 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani chadema imepoteza uelekeo kwa kiasi gani, achilia mbali kwenye suala la rushwa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Atashinda Mbowe.Sure,
hawezi kushinda njaa anaombaomba sana kuchangiwa vitu mballimbali kwa hali na mali π
Bado hujasema mekuUwe unaona aibu wewe mzee.