Uchaguzi 2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

IMG-20201110-WA0005.jpg

Biashara za watu
 
Bado najiuliza kama wengi wanavyohoji humu, inakuwaje inakuwaje kukifuata fuata chadema wakati tayari mna wabunge wa kutosha kuongoza bunge pasi hofu?
Serikali ina watu makini sana. Inafanya hivyo ili kusudi pale ipate namna bora ya kuwakata na hakutakuwa na kelele. Kumbuka Serikali za Mitaa. Si mliaminishwa na wajinga eti uchaguzi utarudiwa?
 
CHADEMA imejaa watu wapu-mbavu (eti yanajiita viongozi)! Majina ya Wabunge wa viti maalum hupelekwa kwenye Tume ya Uchaguzi (NEC) Siku 30 kabla ya Uchaguzi Mkuu. Sasa nyie mlipeleka nini!!? Acheni ushamba wewe Mnyika na Mbowe, tunajua mnataka kuchezea majina ya wanaostahili ili mjaze mahawara zenu! CHADEMA ni taasisi ya Umma na si mali ya Mbowe! acheni ujinga!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya Jumatatu, Novemba 9, 2020, kwamba majina ya Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema yameshatangazwa na kuwasilishwa bungeni, wakati Kamati Kuu ya Chama haijafanya uteuzi wala kuwasilisha majina hayo kwa NEC kama taratibu zinavyoelekeza.

Kupitia barua hiyo ya tarehe 09/11/2020, yenye Kumb. Na. C/HQADM/20/TU/05/140, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, kwenda kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, ikiwa na kichwa cha habari kisemacho, YAH; KAULI POTOFU YA NEC KUWA IMESHATANGAZA NA KUWASILISHA BUNGENI MAJINA 19 YA WABUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHADEMA, Chadema imeitaka NEC kuheshimu na kuzingatia mamlaka ya uteuzi wa Wabunge na Madiwani wa Viti Maalum kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Ibara ya 7.7.16(q) na (z) yako kwa Kamati Kuu ya Chama ambayo hadi sasa haijafanya uteuzi wowote wa nafasi hizo wala kuwasilisha majina kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

“Kauli hii ni potofu kwa kuwa Chadema (kupitia Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuwasilisha orodha ya majina ya wanaopendekezwa kuteuliwa kuwa wabunge), haijawasilisha orodha yoyote,” imesema sehemu ya barua hiyo ambayo pia nakala yake imepelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.

Kupitia Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu, Novemba 9, 2020, ISSN 0856. Na. 0580394, katika habari iliyopewa uzito ukurasa wa kwanza, ikiwa na kichwa cha habari “NEC yatangaza viti maalum, Chadema yaambulia 19,” imeiandikwa kuwa NEC imeweka wazi idadi ya Wabunge wa Viti Maalum huku, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera akinukuliwa akitoa kauli ya upotoshaji kuwa waandishi wa habari wakiyataka majina hayo watayapata bungeni.

Imetolewa leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 na;

Tumaini Makene

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano

Chadema
View attachment 1622925
Chadema mnakwama wapi? Mbona vitu vipo wazi. Hakika chama kinaongozwa na vilaza.

NEC inatoa idadi ya wabunge, ukitaka majina nenda bungeni.
 
CHADEMA imejaa watu wapu-mbavu (eti yanajiita viongozi)! Majina ya Wabunge wa viti maalum hupelekwa kwenye Tume ya Uchaguzi (NEC) Siku 30 kabla ya Uchaguzi Mkuu. Sasa nyie mlipeleka nini!!? Acheni ushamba wewe Mnyika na Mbowe, tunajua mnataka kuchezea majina ya wanaostahili ili mjaze mahawara zenu! CHADEMA ni taasisi ya Umma na si mali ya Mbowe! acheni ujinga!
Seconded
 
BWANA WENUU KAELEKEAA UBELGIJI AMEWAAGAA AMA KELELE TU
 
NJOOON SASA MKIISHIWA TUWALISHE ...
 
NANIIIWENU

amewaachiaa matumizilakini ama
 
Attachments

  • IMG-20201110-WA0038.jpg
    IMG-20201110-WA0038.jpg
    75.5 KB · Views: 2
  • VID-20201110-WA0040.mp4
    1.3 MB
REMMY ONGALA ALISEMAAA
WEMAAAAAA WEMAAAA.......
 
Attachments

  • Screenshot_20201110-192710.png
    Screenshot_20201110-192710.png
    147.7 KB · Views: 2
Kama ni kweli nec wamepeleka majina bila mawasiliano na chama husika,basi hii italeta hisia hasi juu ya utendaji kazi wa hii taasisi,then kwanini kuwe na mivutano?Mambo Kama haya yanarudisha hitaji la TUME huru,nje ya hapo turudi tu mfumo wa chama kimoja maisha yaende.
 
Serikali ina watu makini sana. Inafanya hivyo ili kusudi pale ipate namna bora ya kuwakata na hakutakuwa na kelele. Kumbuka Serikali za Mitaa. Si mliaminishwa na wajinga eti uchaguzi utarudiwa?
Sikuelewi..!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya Jumatatu, Novemba 9, 2020, kwamba majina ya Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema yameshatangazwa na kuwasilishwa bungeni, wakati Kamati Kuu ya Chama haijafanya uteuzi wala kuwasilisha majina hayo kwa NEC kama taratibu zinavyoelekeza.

Kupitia barua hiyo ya tarehe 09/11/2020, yenye Kumb. Na. C/HQADM/20/TU/05/140, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, kwenda kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, ikiwa na kichwa cha habari kisemacho, YAH; KAULI POTOFU YA NEC KUWA IMESHATANGAZA NA KUWASILISHA BUNGENI MAJINA 19 YA WABUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHADEMA, Chadema imeitaka NEC kuheshimu na kuzingatia mamlaka ya uteuzi wa Wabunge na Madiwani wa Viti Maalum kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Ibara ya 7.7.16(q) na (z) yako kwa Kamati Kuu ya Chama ambayo hadi sasa haijafanya uteuzi wowote wa nafasi hizo wala kuwasilisha majina kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

“Kauli hii ni potofu kwa kuwa Chadema (kupitia Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuwasilisha orodha ya majina ya wanaopendekezwa kuteuliwa kuwa wabunge), haijawasilisha orodha yoyote,” imesema sehemu ya barua hiyo ambayo pia nakala yake imepelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.

Kupitia Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu, Novemba 9, 2020, ISSN 0856. Na. 0580394, katika habari iliyopewa uzito ukurasa wa kwanza, ikiwa na kichwa cha habari “NEC yatangaza viti maalum, Chadema yaambulia 19,” imeiandikwa kuwa NEC imeweka wazi idadi ya Wabunge wa Viti Maalum huku, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera akinukuliwa akitoa kauli ya upotoshaji kuwa waandishi wa habari wakiyataka majina hayo watayapata bungeni.

Imetolewa leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 na;

Tumaini Makene

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano

Chadema
View attachment 1622925
Nilijua tu watapandikiza watu wao bloodyfools
 
Back
Top Bottom