Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Biashara za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ina watu makini sana. Inafanya hivyo ili kusudi pale ipate namna bora ya kuwakata na hakutakuwa na kelele. Kumbuka Serikali za Mitaa. Si mliaminishwa na wajinga eti uchaguzi utarudiwa?Bado najiuliza kama wengi wanavyohoji humu, inakuwaje inakuwaje kukifuata fuata chadema wakati tayari mna wabunge wa kutosha kuongoza bunge pasi hofu?
Kwa hiyo nacho mnakitaka? Wachawi wana vituko.Chadema mnavyohangaika, hiki chama sio cha mbowe lissu wala mnyika! Ni chama cha umma!
Chadema mnakwama wapi? Mbona vitu vipo wazi. Hakika chama kinaongozwa na vilaza.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya Jumatatu, Novemba 9, 2020, kwamba majina ya Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema yameshatangazwa na kuwasilishwa bungeni, wakati Kamati Kuu ya Chama haijafanya uteuzi wala kuwasilisha majina hayo kwa NEC kama taratibu zinavyoelekeza.
Kupitia barua hiyo ya tarehe 09/11/2020, yenye Kumb. Na. C/HQADM/20/TU/05/140, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, kwenda kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, ikiwa na kichwa cha habari kisemacho, YAH; KAULI POTOFU YA NEC KUWA IMESHATANGAZA NA KUWASILISHA BUNGENI MAJINA 19 YA WABUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHADEMA, Chadema imeitaka NEC kuheshimu na kuzingatia mamlaka ya uteuzi wa Wabunge na Madiwani wa Viti Maalum kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Ibara ya 7.7.16(q) na (z) yako kwa Kamati Kuu ya Chama ambayo hadi sasa haijafanya uteuzi wowote wa nafasi hizo wala kuwasilisha majina kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
“Kauli hii ni potofu kwa kuwa Chadema (kupitia Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuwasilisha orodha ya majina ya wanaopendekezwa kuteuliwa kuwa wabunge), haijawasilisha orodha yoyote,” imesema sehemu ya barua hiyo ambayo pia nakala yake imepelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Kupitia Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu, Novemba 9, 2020, ISSN 0856. Na. 0580394, katika habari iliyopewa uzito ukurasa wa kwanza, ikiwa na kichwa cha habari “NEC yatangaza viti maalum, Chadema yaambulia 19,” imeiandikwa kuwa NEC imeweka wazi idadi ya Wabunge wa Viti Maalum huku, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera akinukuliwa akitoa kauli ya upotoshaji kuwa waandishi wa habari wakiyataka majina hayo watayapata bungeni.
Imetolewa leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
View attachment 1622925
SecondedCHADEMA imejaa watu wapu-mbavu (eti yanajiita viongozi)! Majina ya Wabunge wa viti maalum hupelekwa kwenye Tume ya Uchaguzi (NEC) Siku 30 kabla ya Uchaguzi Mkuu. Sasa nyie mlipeleka nini!!? Acheni ushamba wewe Mnyika na Mbowe, tunajua mnataka kuchezea majina ya wanaostahili ili mjaze mahawara zenu! CHADEMA ni taasisi ya Umma na si mali ya Mbowe! acheni ujinga!
Acha kutukana watu utakula ban mkuu.BWANA WENUU KAELEKEAA UBELGIJI AMEWAAGAA AMA KELELE TU
Aisee achaa NileAcha kutukana watu utakula ban mkuu.
Siasa sio uadui
Mhutu, amiri jeshi wa ntarahamwe ya Tz.Safi sana chadema. Mahera jina lake liongezwe ICC. Huyu fala ni kama mchepuko wa mhutu. Hana akili na hajiongezi.
Kuandamana kwenyewe umeshindwa itakuwa kuhesabu siku za Mahera!!?
Huna lolote wewe! Lissu alikuambia uiingie barabarani ukagwaya! Unaweza nini wewe!!!?Huyo Mahera ana kipi cha kumfanya siku zake zisihesabike?
Subiri mrejesho Mungu sio anko Magu
Acha utoto choko jibu kilichoulizwa pale kwenye comment!Ba
Bawacha akina Mdee na Bulaya wamepeleka sasa mashabiki mnachezeshwa kama mazezetu!! Hahahahahahaha.
Sikuelewi..!Serikali ina watu makini sana. Inafanya hivyo ili kusudi pale ipate namna bora ya kuwakata na hakutakuwa na kelele. Kumbuka Serikali za Mitaa. Si mliaminishwa na wajinga eti uchaguzi utarudiwa?
Ahahahahahahah!Sikuelewi..!
Nilijua tu watapandikiza watu wao bloodyfoolsTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA