PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CDM inaenda kuleta mapinduzi kwenye nchi yetu
 
NRNE ni series ndefu sana , hopefully up to 2030
 
Lile wimbi la kuhama chadema huenda lilikuwa fix ya kiimfumo mbona siku hizi kimya?au vyombo vya habari vimepigwa ban
 
october mtafanya nini? achana na hizo twisted illusions, live ur life, hii ni kama soccer league tu
What kind of twisted illusions you are talking about? Hapa tunaongelea reforms for our national prosperity.
 
What kind of twisted illusions you are talking about? Hapa tunaongelea reforms for our national prosperity.
national prosperity ipi??, we shida zako za kiuchumi hazijasababishwa na mfumo, ni majanga yako binafsi tu, jipambanie, usijifanye kulipambania taifa
 
national prosperity ipi??, we shida zako za kiuchumi hazijasababishwa na mfumo, ni majanga yako binafsi tu, jipambanie, usijifanye kulipambania taifa
Katiba na Mifumo bora ya nchi itachangia pakubwa sana our national prosperity driven by a combination of productive human capital, innovation, good governance, and sustainable economic policies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…