CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
Sisi tunajenga chama chetu, kinachokukera nini, tuliza mshono wewe.
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Banghi mbaya sana!
 
Safi , tuanze kupiga pamba Sasa mpaka ccm watukome na jezi yao ya Zama za kale,
 
Rudi mombassa ukaendelee kupakuliwa kisamvu unenepe uwe pisi kali
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
 
Dhalimu aliingia madarakani na gia ya Tanzania ya viwanda, lakini wakati wa kampeni ya ule uchaguzi aliounajisi, alikuwa anaona hata aibu kutaja neno viwanda.
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
 
Kwa hiyo roho ya korosho inakuumaaaa ulivyo fedhuli nend`a ukamfufue au kabebe kaburi lake nyambafu weye`

Back
Top Bottom