CHADEMA yajibu mapigo ya Vyama 14 kuhusu kikosi kazi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi.

Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa tamko la kulaani na kujitenga na msimamo uliotolewa na CHADEMA inayodai hakukuwa na umuhimu wa kuundwa kwa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni kutafuta muafaka wa kitaifa uliotokana na mkwamo wa kisiasa.

Msimamo huo unaoendelea kuleta sintofahamu ndani ya vyama vya upinzani nchini kiasi cha kutofautiana kimtazamo na kuacha chama tawala kikijiweka kando, ulianza siku mbili baada ya Kikosi Kazi kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Umoja huo unaundwa na vyama vya ADC, NCCR-Magezi, TLP, Demokrasia Makini, Tadea, NRA, Sauti ya Umma, SAU, UPDP, NLD, AFP, CCK, UDP, DP na UMD.

Jana, umoja wa wenyeviti 10 wa majimbo ya CHADEMA, Dar es Salaam ulizungumza na waandishi wa habari ukisema vyama hivyo vinatumika vibaya na vikipewa nafasi vitavuruga msimamo na dhamira ya Watanzania kupata mageuzi.

“Hata kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, vyama hivyo vilipata kura chache sana chini ya asilimia 0.2 na ukipiga kura za vyama vyote haviwezi kufikia hata nusu ya kura ambazo CHADEMA walipigiwa kura na Watanzania,” alisema Mwenyekiti wa Jimbo la Kawe, Leonard Manyama.

Mwenyekiti wa Jimbo la Kibamba, Ernest Stanley alisema Watanzania wanapaswa kupuuza matamko yanayotolewa na muungano huo.

“Vyama hivyo vinakusanyana na kuishambulia CHADEMA; na hata kwenye mikutano yao wanasoma andiko ambalo wameandikiwa yote hayo kutaka kuipinga Chadema, Watanzania wapinge kwani vinataka kurudisha nyuma ustawi wa Demokrasia,” alisema Staniley.

Mwenyekiti wa Jimbo la Ukonga, Sweya Omary alisema vyama hivyo havijakomaa kisiasa na wanajikuta wakitumika bila kujua malengo ya kuundwa kwa vyama vyao ni kuwakomboa Watanzania.

Akijibu hoja hizo za CHADEMA, kwa niaba ya muungano wa vyama 14 vya upinzania nchini, Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo alisema kuwatuhumu wao wanatumika ni lugha tu ya watu waliokosa kujibu hoja iliyojengwa.

“Sisi upande wetu hatuzungumzii chama chochote kutumika, tunawapinga wao, jambo ambalo hawajashiriki wanaona si sahihi, yaani tuwasubiri CHADEMA watakapoanza kushiriki tuseme sawa kwa masilahi ya Taifa, hatuwezi kwenda hivyo kama mbuzi wa kuchungwa,” alisema Doyo.

MWANANCHI
 
Chadema wakae kimya sababu walipewa fursa na wakaendeleza deko zao kama kawaida yao.

Chadema wamezowea siasa za kususa susa miaka yote,kuanzia Bunge la JMT na pia hata lile Bunge la katiba,ni wao hao hao walitoka nje.

Kama walikuwa na hayo maoni yao,kwa nini walisusa kwenda kwenye chombo husika na kuyawakilisha,sambamba na taasisi zingine zilivyofanya.

Kwani wananchi inaowasemea Chadema ni tofauti na wanaisemewa na taasisi zinginezo za kisiasa mpaka za kidini?

Chadema walibweteka na kuitumia ile fursa ya mazungumzo yao na Rais wa JMT.
Wakadhani wakisusa wao basi na shughuli haitang'oa nanga....sasa wameshtuka tayari ikiwa inasonga mbele wasivyotarajia.

Chadema wanajichanganya sana.

Mfano,wanajinasibu kutoutambua uchaguzi wa 2020.
Lakini wanamtambua na kumkubali Rais aliyetokana na uchaguzi ule.

Chadema mnawachanganya sana wafuasi wenu,kwa kukosa rasmi kuwaonyesha kile mnachokisimamia katika hoja na sera zenu.
 
Mtoto wa Zitto wewe... na jamaa alivyo mpenda Liwati sijui kama hajakuharibu.
 
CHADEMA isihangaike kujibizana na vyama ambavyo viongozi wake ndio wanachama pekee.

Vyama vina bendera nyingi kuliko idadi ya wanachama sio vya kujibizana navyo.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi.

Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa tamko la kulaani na kujitenga na msimamo uliotolewa na CHADEMA inayodai hakukuwa na umuhimu wa kuundwa kwa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni kutafuta muafaka wa kitaifa uliotokana na mkwamo wa kisiasa.

Msimamo huo unaoendelea kuleta sintofahamu ndani ya vyama vya upinzani nchini kiasi cha kutofautiana kimtazamo na kuacha chama tawala kikijiweka kando, ulianza siku mbili baada ya Kikosi Kazi kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Umoja huo unaundwa na vyama vya ADC, NCCR-Magezi, TLP, Demokrasia Makini, Tadea, NRA, Sauti ya Umma, SAU, UPDP, NLD, AFP, CCK, UDP, DP na UMD.

Jana, umoja wa wenyeviti 10 wa majimbo ya CHADEMA, Dar es Salaam ulizungumza na waandishi wa habari ukisema vyama hivyo vinatumika vibaya na vikipewa nafasi vitavuruga msimamo na dhamira ya Watanzania kupata mageuzi.

“Hata kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, vyama hivyo vilipata kura chache sana chini ya asilimia 0.2 na ukipiga kura za vyama vyote haviwezi kufikia hata nusu ya kura ambazo CHADEMA walipigiwa kura na Watanzania,” alisema Mwenyekiti wa Jimbo la Kawe, Leonard Manyama.

Mwenyekiti wa Jimbo la Kibamba, Ernest Stanley alisema Watanzania wanapaswa kupuuza matamko yanayotolewa na muungano huo.

“Vyama hivyo vinakusanyana na kuishambulia CHADEMA; na hata kwenye mikutano yao wanasoma andiko ambalo wameandikiwa yote hayo kutaka kuipinga Chadema, Watanzania wapinge kwani vinataka kurudisha nyuma ustawi wa Demokrasia,” alisema Staniley.

Mwenyekiti wa Jimbo la Ukonga, Sweya Omary alisema vyama hivyo havijakomaa kisiasa na wanajikuta wakitumika bila kujua malengo ya kuundwa kwa vyama vyao ni kuwakomboa Watanzania.

Akijibu hoja hizo za CHADEMA, kwa niaba ya muungano wa vyama 14 vya upinzania nchini, Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo alisema kuwatuhumu wao wanatumika ni lugha tu ya watu waliokosa kujibu hoja iliyojengwa.

“Sisi upande wetu hatuzungumzii chama chochote kutumika, tunawapinga wao, jambo ambalo hawajashiriki wanaona si sahihi, yaani tuwasubiri CHADEMA watakapoanza kushiriki tuseme sawa kwa masilahi ya Taifa, hatuwezi kwenda hivyo kama mbuzi wa kuchungwa,” alisema Doyo.

MWANANCHI
JamiiForums753274111.jpg
 
Mtoto wa Zitto wewe... na jamaa alivyo mpenda Liwati sijui kama hajakuharibu.
Na huu ndio ujinga na upumbavu mkubwa uliobaki chadema.

Think tankers wote wameondoka na kuachia chama hamnazo na wavuta bangi,wakiongozwa na Pambalu.

Pambaneni kwa hoja na sio matusi yasiyo na tija,kwa kila anayewapinga kwa hoja.

Chama cha siasa hakijengwi kwa matusi,bali kwa hoja.

Hao mbaowatukana ndio wananchi hao hao mnaowaomba kuwaunga mkono.
Usipojibu hoja na kuishia kutukana,unadhani ni wangapi mnaowakera kila siku na pia kuwadharaulisha kila siku.
 
Wewe kampe Zitto liwati...stupud
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi.

Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa tamko la kulaani na kujitenga na msimamo uliotolewa na CHADEMA inayodai hakukuwa na umuhimu wa kuundwa kwa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni kutafuta muafaka wa kitaifa uliotokana na mkwamo wa kisiasa.

Msimamo huo unaoendelea kuleta sintofahamu ndani ya vyama vya upinzani nchini kiasi cha kutofautiana kimtazamo na kuacha chama tawala kikijiweka kando, ulianza siku mbili baada ya Kikosi Kazi kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Umoja huo unaundwa na vyama vya ADC, NCCR-Magezi, TLP, Demokrasia Makini, Tadea, NRA, Sauti ya Umma, SAU, UPDP, NLD, AFP, CCK, UDP, DP na UMD.

Jana, umoja wa wenyeviti 10 wa majimbo ya CHADEMA, Dar es Salaam ulizungumza na waandishi wa habari ukisema vyama hivyo vinatumika vibaya na vikipewa nafasi vitavuruga msimamo na dhamira ya Watanzania kupata mageuzi.

“Hata kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, vyama hivyo vilipata kura chache sana chini ya asilimia 0.2 na ukipiga kura za vyama vyote haviwezi kufikia hata nusu ya kura ambazo CHADEMA walipigiwa kura na Watanzania,” alisema Mwenyekiti wa Jimbo la Kawe, Leonard Manyama.

Mwenyekiti wa Jimbo la Kibamba, Ernest Stanley alisema Watanzania wanapaswa kupuuza matamko yanayotolewa na muungano huo.

“Vyama hivyo vinakusanyana na kuishambulia CHADEMA; na hata kwenye mikutano yao wanasoma andiko ambalo wameandikiwa yote hayo kutaka kuipinga Chadema, Watanzania wapinge kwani vinataka kurudisha nyuma ustawi wa Demokrasia,” alisema Staniley.

Mwenyekiti wa Jimbo la Ukonga, Sweya Omary alisema vyama hivyo havijakomaa kisiasa na wanajikuta wakitumika bila kujua malengo ya kuundwa kwa vyama vyao ni kuwakomboa Watanzania.

Akijibu hoja hizo za CHADEMA, kwa niaba ya muungano wa vyama 14 vya upinzania nchini, Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo alisema kuwatuhumu wao wanatumika ni lugha tu ya watu waliokosa kujibu hoja iliyojengwa.

“Sisi upande wetu hatuzungumzii chama chochote kutumika, tunawapinga wao, jambo ambalo hawajashiriki wanaona si sahihi, yaani tuwasubiri CHADEMA watakapoanza kushiriki tuseme sawa kwa masilahi ya Taifa, hatuwezi kwenda hivyo kama mbuzi wa kuchungwa,” alisema Doyo.

MWANANCHI
Vyama pinzani vya siasa kukusanyana na kutoa tamko lao maana yake kuna mpiga zumari na mlipaji

Wote hawatokei mahala pamoja
 
TUNDU LISSU AZUNGUMZIA RIPOTI YA KIKOSI KAZI NA VYAMA 14 ZILIVYOSEMA KUWA CHADEMA INA BAHATI YA KISIASA

Source : mubashara Studio
 
Back
Top Bottom