Kampeni ya 'Tone Tone' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyoanzishwa usiku wa kuamkia Februari 28, 2025, imefanikiwa kukusanya shilingi milioni 64.3 kutoka kwa Watanzania.
Na ikumbukwe kila baada ya siku saba, Kutakua na taarifa ya makusanyo haya.
Naomba niweke thread hii ili tuendelee kupata update hizo, kwa yoyote atayeweza kufahamu kwa muda, kwasababu ya ufinyu wa taarifa. Chadema wako transparent sana. Kongole kwao. Ningeomba pia update wananchi tuipate ya week iliyoisha juzi.