Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Lissu hana anapofika!! Hata kama tunatetea demokrasia huwezi tetea ule ushenzi aloonesha Lissu na chawa wake wakati wa kampeni!! Trust me! Lissu kaipoteza elite group kwa kiwango kikubwa sana na bahati mbaya yake siasa zake si rahisi kueleweka kwa lumpen!Hapana mkuu. Mimi katu sitaombea Lissu ashindwe kwani itakuwa ni Tanzania imeshindwa. Mbowe sikutaka aendelee kwa sababu tu alishakaa muda mrefu hivyo angekiuka ile kanuni muhimu sana ya demokrasia ambayo huwa naitetea: ukomo wa madaraka.
Lissu kajiharibia mno ile behavior aliyoonesha wakati wa kuusaka uenyekiti na itamgharimu sana. Mimi niliyekua nasikiliza hotuba za lissu hadi kuanzisha thread humu…. Kumchangia matibabu then gari leo sikua wa kusikia kichefuchefu nikimsikia Lissu!