Pre GE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani ‘Niffer’ kwa masaa mannę baada ya ghorofa la kariakoo kuanguka; alichangisha karibu millioni 50 kabla ya kuzuiwa kuchangisha na serikali.

CDM taasisi kubwa walitakiwa kuwa kwenye billions sasa hivi, kwa cause yao.

Sasa jiulize Lissu ndio wakuingiza watu barabarani kweli kuzuia uchaguzi, vikundi vya watu wachache mitandaoni visiwadanganye.

CDM inatakiwa kubadili strategy hasa rhetoric yao, Lissu anaongea kisomi sana that’s not politic. Unatakiwa uonge na wananchi lugha watayoilewa.
 
Mwanzo Mzuri.. Ila pesa bado ndogo.. Kulinganisha na umma. Kikubwa nina ona ni ile spirit ya kuchanga... Ukiweza shawishi mtu akuchangie pesa ni wazi ume mshawishi akupigie kura. Sasa usikute pesa yote wana changia diaspora hapo ndiyo kuna Chamgamoto.
Kuhusu kupiga kura hakuna mtanzania ambaye huwa anaipigia kura CCM
 
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE

Soma, Pia
WAKIZITUMIA WAJE HUKUHUKU NA KELELE ZAO ZIMEBAKI NGAPI
 
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE

Soma, Pia
hio bado hela ndogo sana, sambazeni, fanyeni kamnpeni kwenye mitandao ili watu wachange, tulitakiwa kuwana bilioni si chini ya 5 ndio tuande kuongea. leteni amsha amsha, vipi ninyi?
 
Mwanzo Mzuri.. Ila pesa bado ndogo.. Kulinganisha na umma. Kikubwa nina ona ni ile spirit ya kuchanga... Ukiweza shawishi mtu akuchangie pesa ni wazi ume mshawishi akupigie kura. Sasa usikute pesa yote wana changia diaspora hapo ndiyo kuna Chamgamoto.
miamala mingi ilikuwa ikirudishwa, je tatizo lilikuwa ni nini? na je limeshughulikiwa?
 
Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Eti wanataka kupata bilioni moja. Ahahahahaha! Tena hapo kajitahidi kweri kweri!
 
Chadema msipo buni miradi ya chama, mtaishia pabaya!

Tafuteni vyanzo vingine vya fedha badala ya mfumo wa Sasa WA kuomba omba Kila wakati.

Mnaomba,mkipata,mnatumia,zinaisha,mnaanza Tena kuomba .
 
Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Tumia akili kidogo kufikiri. Hapo ni mwanzo tu wewe unaona kidogo. Njiti moja ya kiberiti huweza kuteketeza msitu.
 
Mbona nyie mabasha zenu ndio wanawapa kiburi cha kunajisi uchaguzi na tunawacheck tu?
Kama ni hivyo, basi mabasha wa chama tawala ndio watemi hasa maana kila uchaguzi wanahakikisha wanabaki. Na mwaka huu watahakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika na hakuna basha wa upande wa upinzani Wala mbwa yoyote itayebweka hadi uchaguzi unaisha.
 
Waweke namba kuchangia hadharani. <m bado sojachamgia, natamani nichangie.
 
Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Ila wewe ndugu wewe una majibu magumu walah tena😆😆😆Mi sijachangia bhana.Sasa hiyo hela si ya kununua luku tu jamani na mafuta ya magari mawili.Wale walikuwa naye kwenye kampen wako wapi!!?
 
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE

Soma, Pia
Milion 64 kwa chama cha siasa kama CDM?? Huu ni mzaha!!
 
Ilikuwa ni mikopo yenye riba isioeleweka kutoka kwa Mwamba.
Hizi mimba changa mlizobeba zinazowafanya mtapike maneno ya shombo mithili ya dagaa bichi very soon mtayatapika au kuwatokea puani!! Muda ni hakimu mzuri sana!
 
Ila wewe ndugu wewe una majibu magumu walah tena😆😆😆Mi sijachangia bhana.Sasa hiyo hela si ya kununua luku tu jamani na mafuta ya magari mawili.Wale walikuwa naye kwenye kampen wako wapi!!?
Alifikiri kuendesha chama ni kutikisa tumbo na lile domo lake pana kama sinia!! Mshenzi sana nimemdharau vibaya sana.
 
Hahahaha hiyo si MATUMIZI ya siku Moja kwenye maandamano
 
Back
Top Bottom