Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hicho ni kiasi cha gharama ya retreat moja ya kula bata kama ile Bagamoyo majuzi, right?Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE
Soma, Pia
