THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.
Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.