SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Point.Wengine tulishauri zamani...
Tundu Lissu hawezi kufikia peak yake akiwa Chadema...
Kile ni chama cha kikabila...
Na hilo atalijua akithubutu kupingana na Mbowe hadharani...
Atashangaa matusi yanatoka kwa watu wa eneo moja tu la nchi.
Nasikia ashapata kiwewe, woga na wasiwasi, kila anapoona watu ambao hawajui. Akiwa Jukwaani amesema kuna watu wanamfuatilia. Watu wasiojulikana-Red Brigade?