Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Anaeamini katika wizi, uonevu, dhulma huyo ndio mpuuzi asiye na humanity yaani hana tofauti na fisi ubinafsi ndio his priorities wala hajali madhara ya huo ubinafsi kwa wengine.
Nitajie chama cha siasa Tanzania ambacho hakina sifa ulizozitaja hapa?
 
KILICHOITOKEA ANC YA AFRIKA YA KUSINI 2024, KUIZUKIA CHAMA DOLA KONGWE CCM

Matokeo ya uchaguzi wa nchini Afrika ya Kusini tarehe 29 May 2024 chama tawala cha 'ukombozi' chama kongwe ANC kushindwa kunyakua viti vingi vya ubunge kitaifa kimewapa wasiwasi CCM kuwa kutokana na mgawanyiko uliopo kuhusu mali za taifa za Tanganyika na Zanzibar, rushwa, wizi unaobainishwa TAMISEMI na mkuu wa mkoa RC Paul Makonda hali ya mgawanyiko ndani ya CCM nyufa zinajionesha hivyo wanaCCM wanataka kujiengua kuanzisha chama kipya na kupelekea CCM kushindwa 2025 kama chama kikongwe cha ANC Afrika ya Kusini, tukumbuke moto wa Bernard C. Membe kutaka fomu 2 za watia nia urais

JACOB ZUMA NA MKUKI WA UMKHOTO WeSIZWE NDANI YA ANC

Rais mstaafu Jacob Zuma wa South Africa aleta mtikisiko katika chama cha ANC baada ya kusema hataiunga mkono chama cha ANC bali atakiunga mkono chama kipya cha Umkhoto WeSizwe.

Tamko hilo ni kuwaambia watu kuwa wale wote ambao wanaunga mkono ANC, DA, EFF, PAC lakini hawafurahishwi sera za vyama hivyo basi want nafasi kuingia katika Umkhoto We Sizwe.

Rais mstaafu Jacob Zuma anasema ANC ya sasa siyo ile asilia bali kimetekwa nyara na Cyril Ramaphosa na mabwanyenye hivyo kuifanya ANC halisi kufa. Hivyo anatoa rai kwa wanaANC kuiunga mkono Umkhoto We Sizwe kuonesha kupiga ANC kunyakuliwa na mafisadi.

Je matamko ya Jacob Zuma kuelekea uchaguzi wa 2024. Tuangalie jimbo la KwaZulu Natal matokeo ya ANC yalianguka kutoka asilimia 66% Jacob Zuma alipokuwa rais lakini sasa ANC inacheza na asilimia 50% hivyo hii ina maana kuwa kwa kuangalia matokeo ya 2019 na 2021 ya KwaZulu Natal (KZN) chaguzi ndogo za serikali ya mitaa kupata asilimia 41.

Asasi tajwa ya EPOS POLL inabashiri kuwa uchaguzi wa 2024 ANC uchaguzi wa serikali za mitaa itaambulia asilimia 22 tu na hii itaipa wakati mgumu katika uchaguzi wa kitaifa.

Na pia tamko hili lina maana gani kwa chama kongwe ANC, pamoja na chama hiki kongwe kuwa na kila rasilimali na mifumo ya kukiwezesha kushinda uchaguzi lakini mgawanyiko atakaoleta Jacob Zuma kukuza makundi ndani ya ANC ndiyo umiza kichwa kwa uongozi wa ANC mpya chini ya rais Cyril Ramaphosa .

2017 ANC ilisisitiza umoja na mabadiliko (Unity and Changes), ndani ya chama. Msisitizo huo unaonesha sasa kutishia umoja na mabadiliko waliyokuwa wanayanadi kwa wanachama na mashabiki wa ANC baada ya shutuma nzito za rais mstaafu Jacob Zuma kuwa ANC ya sasa imesaliti maagano ya mwanzo juu ya sababu za kuunda ANC huko nyuma.
1717671262286.png

How Jacob Zuma’s announcement of MK Party could shake up SA’s 2024 election…

View: https://m.youtube.com/watch?v=f8EcoWPAf2M
Source : SMWX
 
Sasa chama cha kahawa na migomba wapewe walima alizeti, na chai na mbao? Wapi na wapi, hicho chama hachukui chasaka
 
Friends and Our Enemies...

Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.

Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.

Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.

Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Acha exaggeration zisizo na maana! Lissu ni timamu hawezi kufanya ujinga unaomfundisha. Na kudhani kuwa Lissu na Msigwa wanaweza kuondoka cdm ni ndoto za alinacha.
Kisaidie chama chako ccm kuleta maendeleo kwa wananchi badala ya kuiuza nchi vipande vipande!
Pia waambie hao ccm wako kuwa, walikoelekea ANC ndiko nao wataelekea mwakani!
 
Friends and Our Enemies...

Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.

Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.

Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.

Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Utasubiri sana wee mmakonde kama fisi anayesubiria mkono wa binadamu udondoke apate mlo wa siku!
 
So to say that he's going to be a chairman for lifetime?

Ndiyo Demokrasia na maendeleo hiyo?
Mbona huhoji demokrasia ya china inayokuletea toothpick na ya India inayokupeni mchele wa biriyani? Haya, geuka angalia hapo Rwanda na Uganda uniambie wamekaa muda gani hao wakuu wao!
Najua hutohoji lakini unakimbilia kumfokea Mbowe alete maendeleo as if anakusanya Kodi yenu! Jifungue kwenye Hilo sanduku la Giza ulilofungiwq na ccm uangaze nje huona ukapata uelewa wa aina za demokrasia zilizopo na zinazozaliwa duniani!
 
Friends and Our Enemies...

Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.

Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.

Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.

Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
We jamaa mdini sana. Wewe tangu unajiunga humu unajulikana. Ulikuwa na vita kali sana na chadema..kipindi Slaa yupo chadema. Kwa wanaokujua…..they know you. Huna jipya.
 
Friends and Our Enemies...

Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.

Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.

Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.

Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
chai
 
Kwakuwa ni tetesi wacha tuendele kusikilizia kitakachotokea
 
Wewe kwani umerudi lini kutoka Hamas?
 
Mbowe sijui ana biashara gani ndani ya CHADEMA.

Watoto waliozaliwa wakati anaingia kwenye uenyekiti wa CHADEMA leo hii wanagraduate chuo kikuu yeye yupo tu!.

Sasa sijui ana jipya gani aliloshindwa kulifanya ndani ya miaka zaidi ya 20 aliyokuwa mwenyekiti wa Chama!
Wacha uoumbavu wako wewe mdogo wake Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom