Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Friends and Our Enemies...

Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.

Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.

Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.

Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Chama kipya chenye nguvu chanukia
Wengi kutoka Ccm na Chadema watajiunga kwenye Chama kipya 🤠

Ni utabiri tu 😳
 
Yaani wachaga wajichange kulima kahawa waanzishe chama, mtu akurupuke huko kwenye mashudu ya alizeti na maranda ya mbao anataka uongozi wa chama kitaifa
 
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Bro here is a home of great thinkers.. try to manipulate your medula before coming with any serious allegation.
 
Hata kifo Cha mwendazake kilianza kama TETESI na mwishowe zikawa ni kweli.
 
Mbona huhoji demokrasia ya china inayokuletea toothpick na ya India inayokupeni mchele wa biriyani? Haya, geuka angalia hapo Rwanda na Uganda uniambie wamekaa muda gani hao wakuu wao!
Najua hutohoji lakini unakimbilia kumfokea Mbowe alete maendeleo as if anakusanya Kodi yenu! Jifungue kwenye Hilo sanduku la Giza ulilofungiwq na ccm uangaze nje huona ukapata uelewa wa aina za demokrasia zilizopo na zinazozaliwa duniani!

Tunauliza tuh,hiyo Demokrasia na maendeleo anayohubiri ni ipi?
 
Mbowe pekee ndie anaweza kuongoza upinzani. Wengine wote ni bure kabisa. Na ccm inamuogopa sana Mbowe na inatamani sana Mbowe ang'atuke na ndio itakuwa kwa heri upinzani. Ni rahisi tu mwenye akili kuona Mbowe aking'atuka tu upinzani kwa heri. ccm wanatamani itokee hilo
Kwani hawezi kushiriki kuwa mpinzani sharti lazima awe ni mwenyekiti wa kudumu?
 
Friends and Our Enemies...

Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.

Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.

Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.

Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Kabla ya uchaguzi chama tawala kitameguka
 
nani atawapa usajili?
 
Back
Top Bottom