Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Chama kipya chenye nguvu chanukia
Wengi kutoka Ccm na Chadema watajiunga kwenye Chama kipya 🤠

Ni utabiri tu 😳
 
Yaani wachaga wajichange kulima kahawa waanzishe chama, mtu akurupuke huko kwenye mashudu ya alizeti na maranda ya mbao anataka uongozi wa chama kitaifa
 
Chadema wameamua kuwacheza shere Ccm 🤠

Lissu na Msigwa wapo wapo sana tu ndani ya Chadema 😅
 
Bro here is a home of great thinkers.. try to manipulate your medula before coming with any serious allegation.
 
Bro here is a home of great thinkers.. try to manipulate your medula before coming with any serious allegation.
Hata kifo Cha mwendazake kilianza kama TETESI na mwishowe zikawa ni kweli.
 

Tunauliza tuh,hiyo Demokrasia na maendeleo anayohubiri ni ipi?
 
Kwani hawezi kushiriki kuwa mpinzani sharti lazima awe ni mwenyekiti wa kudumu?
 
Kabla ya uchaguzi chama tawala kitameguka
 
nani atawapa usajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…