PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kompyuta iliyotumika kuchapa hili barua na kalam iliyosaini mbona havijawahi kutumika kutoa tamko la kulaani unyama wa kuumizwa huyu mama? CHADEMA mna akili mbovu kama fenesi lililooza
 
So kwa akili yako kila anaenda hospitali ni unconscious, je kila aendae hopitali ni mgojwa au unasema tu kisa unamuona yupo na drip na mito mingi kwenye kitanda cha hospital, hujui dunia .

Ukitaka kujua kwamba sio kila alie hospital ni mgonjwa uliza wa mama wa vikoba . anaweza kwenda hospital akaleta drama zote ili alazwe apate kuchangiwa na wenzake pesa ya kulazwa ,utasikia wenzangu nimewachangia sana.

Dunia sio rafiki
 
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Ujinga mtupu! Makalla ameishiwa hoja sasa amehamia kukaa wodini na Sigrada Mligo! 🤣🤣🤣
 
Kompyuta iliyotumika kuchapa hili barua na kalam iliyosaini mbona havijawahi kutumika kutoa tamko la kulaani unyama wa kuumizwa huyu mama? CHADEMA mna akili mbovu kama fenesi lililooza
🚮🚮🚮
 
Hata Mbowe alipopigwa Dodoma, Ndugai alienda kumtembelea. Na wote wakapiga picha. Imekuwaje huyu dada kutembelewa na kupigwa picha iwe nongwa?

Amandla...
Ndungai alikua sahii kama spika ,na Mbowe aliekua Mbunge, sasa Makalla na mwenezi wa chadema wapi na wapi? Kama sio iyo tu , vipi matamko ambayo ccm wameyatoa kana kwamba uyu mtu wa kwanza kupata shida ndani ya chadema.
 
Unamjulia hali mtu ambae yupo kwenye maigizo?
Mnatakiwa mjifunze kwa CCM. Mbowe alipoumia, Ndugai alienda kumjulia hali. Alipotoka hospitali akaenda Bungeni akasema yale yalikuwa maigizo.

Tungewaelewa kama angeenda mtu wa CDM hospitali kumjulia hali Sigrada hospitali halafu ndio angetoka akasema kuwa Daktari amemwambia kuwa alikuwa hajaumia yale yalikuwa maigizo.

Tunachokiona hapa ni kiongozi wa Bawacha aliyetelekezwa na CDM baada ya kupigwa akiwa katika eneo la kikao cha CDM. Haileti picha nzuri.

Hiyo lugha ya kuwa CDM wanafanya maigizo imetumiwa sana na CCM. Mbowe alipoumizwa walisema maigizo. Bulaya na Matiko walipoumizwa, walisema ni maigizo.

Kibaya zaidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa CDM aliandika kuwa CDM inateka na kuwaumiza wanachama wake. Kauli ambayo mpaka leo hajaifuta!

Amandla...
 
Maswali ya kipumbavu hayo..mtu km anasema alipigwa akaumia hata km hakupigwa madam anasema anaumwa ni uungwana kwenda kumuona umwambie face to face km anafanya drama, chama gani kinaweweseka na ishu ya mtu mmoja..? hadi mnapoteza muda kuandika barua..? mambo mengine ni ya kumwambia face to face haihitaji barua, miongo 3 sasa mnahangaika na wasaliti, mmeshindwa kupata jibu la kesi ndogo ya wasaliti ndani ya chama mtaweza kupata majibu ya issue za kitaifa..? mnajenga chuki personal hata kumjulia hali mnaleta excuse za upumbavu kabisa..huyu ni kiongozi wenu si kiongozi wa ccm..!
 
Naona Tlaatlaah amenuna kiasi cha kuweka dislike!! Na hii yote ni baada tu ya CHADEMA kushtukia huu mchezo wao mchafu wanaotaka kuutumia kwa huyo kamanda.
 
Aseme kwanza Sangamela mda wa saa 7 usiku alikua anafanya nini na hospital alienda saa ngapi , acheni mambo mepesi, atujibu kwanza hili
 
Naona Tlaatlaah amenuna kiasi cha kuweka dislike!! Na hii yote ni baada tu ya CHADEMA kushtukia huu mchezo wao mchafu wanaotaka kuutumia kwa huyo kamanda.
sina haja ya dislike au like gentleman,

ila utu wa mwanadamu alieumizwa wazi wazi kabisa na majambazi wanaodai ni walinzi wa miongoni mwa vibaka wa kisiasa ndani ya chadema,

binti kaumizwa hajiwezi anapuzwa na kutwezwa na wenye afya tena wanawake wenzie badala ya kuzingatia afya yake kwanza,

Gentleman,
kwanini chadema wanafanya siasa kwenye utu, uhai na afya za watu?🐒
 
Hii fulsa mcheza kitoto sana, chadema ipo makini kuliko wakati wowote katika siasa za sasa, ccm apangapo pangolin, gizani kabla ya kukucha kitakua wazi asema Bwana
 
Usijiuguze ukichaa,yaliyofanywa na hawa watu wanaoihujumu chadema ni zaidi hata ya hayo maumivu aliyoyapata.
Halafu usijifanye unahuruma sana,wakati alipigwa lissu na hamkusema chochote.
mimi sihurumii mtu gentleman,
ila utu na ubinadamu unapotwezwa na kupuuzwa kwaajili ya siasa sidhani kama kuna mwanadamu anaweza kuvutiwa na aina ya siasa za kihalifu kiasi hicho.

Hii ni ishara tosha ya kuthibitisha kwamba waliopotezwa ndani ya chadema walipotezwa na chama hiki chenye kila dalili za kigaidi 🐒
 
Hii fulsa mcheza kitoto sana, chadema ipo makini kuliko wakati wowote katika siasa za sasa, ccm apangapo pangolin, gizani kabla ya kukucha kitakua wazi asema Bwana
Infact,
matukio haya ya kikatili ya chadema yanadhihirisha wazi ukatili dhidi ya wanachama wake hususani hata kwa ambao waliumizwa na kupotezwa mpkaka leo 🐒
 
Hii ni moja ya barua za kipumbavu kabisa.
Ingawa sijui kilichotokea, ila wewe Ngongo kweli ni team Mbowe, ingawa Mwamba bado yupo nasi. Mtu kama wewe sikudhani kua utatetereka na earthquake ya uchaguzi wa Mwenyekiti. Sasa wewe na yule Retired mna tofauti gani na wale zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM?
 
Aseme kwanza Sangamela mda wa saa 7 usiku alikua anafanya nini na hospital alienda saa ngapi , acheni mambo mepesi, atujibu kwanza hili
..kwa hiyo haiwezekani mtu kwenda sangamela kutembea na baada ya hapo akaenda hospitali? au kuna kosa gani kwenda sangamela na baadae kwenda hospitali..
 

Mimi napenda kuhoji,kudadisi na nk.
Mtu yuko hospital anapigania maisha yake,hutaki kukubali kwamba yapo makosa yamefanyika.

Majibu rahisi team Mbowe.
 
Hii fulsa mcheza kitoto sana, chadema ipo makini kuliko wakati wowote katika siasa za sasa, ccm apangapo pangolin, gizani kabla ya kukucha kitakua wazi asema Bwana
Umakini upi mnaweweseka na ishu ndogo km hii..kiongozi wenu mnashindwa kwenda kumuona na kuhojiana nae mnakimbilia kuandika barua..
 

Hilo ni ajenda yenu ya kumtumia sasa kuna huyu aliyepigwa na kuzimia ulitoa neno gani?
 
Hii roho ya utu, upendo na ya kuguswa mmeianza lini nyinyi viumbe mnaofahamika duniani kote kwa kuwateka watu mchana kweupe na kwenda kuwatesa/kuwaua!

Nyinyi ambao mnawakata mapanga wanachama wa Chadema kupitia kile kikundi chenu cha Green Guard, na hamfanywi chochote!!
 
Hao ndio wanafikiria kuchukua uongozi wa nchi? Mtu amepigwa live watu wakishuhudia halafu wanamtishia asizungumze na vyombo vya habari? Kweli hao nyumbu ni madikteta uchwara. Halafu hao nyau hakuna wanaweza kumfanya
Live ulikuwepo? Au unaongea kwa kuskia watu wamesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…