Wangetafuta mbinu nyingine kwa hii ya kuandika barua ya kalipio wakati Yuko kitandani ni zaidi ya unyama.Wamefanya kosa kubwa sana la kisiasa na kiubinadamu kuiirelease hii barua .Ndiomaana nasema CHADEMA ya sasa imekosa viongozi wenye hekima
je,View attachment 3288735
Hilo ni ajenda yenu ya kumtumia sasa kuna huyu aliyepigwa na kuzimia ulitoa neno gani?
Wewe ni mpumbavu.Hao si ndio waliomwua Chacha Wangwe? Hata mzee Kibao walimwua wenyewe, wanafanya chokochoko vyombo vya ulinzi na usalama visiwachekee. Mh. Rais hakuna maridhiano ktk usalama na amani ya nchi hii. Jifunzeni DRC, ile nchi imeshamegwa tayari
Gentleman,Hii roho ya utu, upendo na ya kuguswa mmeianza lini nyinyi viumbe mnaofahamika duniani kote kwa kuwateka watu mchana kweupe na kwenda kuwatesa/kuwaua!
Nyinyi ambao mnawakata mapanga wanachama wa Chadema kupitia kile kikundi chenu cha Green Guard, na hamfanywi chochote!!
It seems you are not ok! Young man, relax! ok?Gentleman,
kwa kipigo kile,kuna kila dalili huyo mlinzi binafsi wa huyo ambae inasekekana ni kiongozi wa kitaifa, alihusika kumdhuru na kumdhulumu uhai marehemu kibao 🐒
Mgonjwa mwenyewe umemuona lakini, kashuka kwenye ndinga, katembea ati kwa kuchechemea akaingia mwenyewe kwenye Ambulance, kapiga eleni Murua kabisa ,uyo ndo unconscious , hivi mgonjwa mahututi huingizwa kwenye ambulance namna hii , na makamera juu. Mgonjwa mahututi anafata ambulance kutoka kwenye gari private ,sio ambulance inamfuata mgonjwa kuanzia ICU alipolazwa .Umakini upi mnaweweseka na ishu ndogo km hii..kiongozi wenu mnashindwa kwenda kumuona na kuhojiana nae mnakimbilia kuandika barua..
Umepigwa umezimia alafu saa 7 usiku upo Sangamela..kwa hiyo haiwezekani mtu kwenda sangamela kutembea na baada ya hapo akaenda hospitali? au kuna kosa gani kwenda sangamela na baadae kwenda hospitali..
Msichoelewa ni kuwa tunategemea CDM wata behave tofauti na CCM. Ndio maana tunasikitika tunapoona wanafanya yale yale ambayo wanawashutumu CCM. Na kibaya zaidi ni pale ambapo badala ya kusikitikia tukio, wao wanasema mbona CCM wanafanya haya haya!View attachment 3288735
Hilo ni ajenda yenu ya kumtumia sasa kuna huyu aliyepigwa na kuzimia ulitoa neno gani?
We lazima ni kichaa punguani!! Sigrada wakati wote yupo na viongozi wa CCM kwa madai kuwa wanasimamia matibabu yake, halafu CHADEMA wamdhuru!! Umekosa hata ile akili ndogo kabisa?? Sigrada akidhurika, ninyi mashetani wa CCM ndio mtakaokuwa mmemdhuru maana mnaye Sigrada wakati wote. Hata familia yake mmeiweka pembeni!!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
how can a trained security officer with integrity beat unarmed woman like a burukenge gentleman?It seems you are not ok! Young man, relax! ok?
Hiki ni kikundi cha mungiki.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Tulionya hiki sio chama Chenye utu tena bali ni kikundi cha mungiki. Unamuonya mtu aliyepigwa asitembelewe wakati nyinyi wenyewe hamjawahi kwenda kumuona???Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Huyo mliomteka na kumuua?je,
kuna kiongozi wa chadema aliewahi kwenda kumjulia hali huyo muungwana aliepigwa na huyo mzee?
hata hivyo,
kwa kipigo alichopata yule binti kiongozi wa chadema kutoka kwa hao majambazi ambao eti ni walinzi wa kiongozi wa chama taifa, sipati picha walivyokua wanamshughulukia marehemu Mohamed Kibao,dah!🐒
Hawajielewi huyo ni kiongozi wa Chadema kitaifa nyuma yake ana watu kibao sio wa kudharaulika kirahisi hivyoKompyuta iliyotumika kuchapa hili barua na kalam iliyosaini mbona havijawahi kutumika kutoa tamko la kulaani unyama wa kuumizwa huyu mama? CHADEMA mna akili mbovu kama fenesi lililooza
Mrema yuko sahihi