Mimi nashauri afukuzwe uanachama aende akaungane na MakallaHii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.
Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?
Watu wa ajabu sana.
Amandla...
Huyo anatumiwa kisiasa na ma ccm, wamfukuze tu uanachamaHata Mbowe alipopigwa Dodoma, Ndugai alienda kumtembelea. Na wote wakapiga picha. Imekuwaje huyu dada kutembelewa na kupigwa picha iwe nongwa?
Amandla...
kwamba hatukukemea kuhusu issue ya mzee kibao au unamaanisha nini? usalama wake binafsi inamaanisha nini kweny taarfa yenu? yeye mzima kwan nyie ni madaktar? kwann hamkuenda kumuona? Mbona Lissu alichangiwa na haohao maccm na haikua nongwa? Napata vijichembe vya kuniambia nyie ni WAHUNI na wadhalilishajiMpuuzi wewe mtu alisharuhusiwa aende nyumbani ni mzima alikua amelewa akaomba abaki hospital kutengeneza drama.
Sasa CCM wamemuamisha n kumpeleka wodi ya VIP na yeye anakubali kutumika hovyo.
Ulotaka Chama kikae Kimya.
Kama mnajali sana wanachama wa Chadema mbona hamkujali wakati Mzee Kibao ametekwa
Lakini mtu huyo huyo ameweza kupiga picha na tabasamu juuKabisa mtu yuko ICU kalazwa halafu mtu snamwandikia barua mtu unconscious kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yake
Kama kweli hiyo barua imetoka Chadema watetea haki za binadamu iburuzeni Chadema mahakamani
Haiwezekani kumwandikia barua mtu aliye ICU anapambania uhai wake
Aliyeandika hiyo barua utu na akili na hekima vyoye hana
Chadema hawajakanyaga ila ccm wanaumia, ajabu sana hiiChadema hata hospital hawakukanyaga na ukichukulia kuwa huyo ni kiongozi wao mkubwa sana kitaifa kwenye chama chao
Kwa nini hawakwenda hospitali kumuona kiongozi wao?
Fundi Mchundo hajawahi kumkimbia mtu. Sina muda tu wa kubishana na mtu ambae najua kuwa hatutaelewana na mwisho wa siku ataishia kunitukana. Kwaheri kwenye hii mada. Tafuta wengine wa kubishana nao.Kiwewe na mtikisiko wa ubongo aliupataje? Au konyagi zilimsababishia hayo? Usinikimbie kwa kisingizio Cha kupotezeana muda. Tukeshe humu!
Njama ya kutengene genge mfanano wa covid 19Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Chadema hawajaenda ila wewe unaumia, kwanini usiende wewe kama imekuuma sanaKwa hiyo ni mzima? Hospitali alienda kutalii? Hospitali ni mbuga ya wanyama au?
Chadema mngeenda hata kinafiki tu kumuona Hospitali ils kukwepa mnaogopa kuwa labda mtakamatwa kama watuhumiwa
Kwa nini hakuna kiongozi wa Chadema aliyekwenda kumuona Hospitali hata kuhakiki tu kaman fake AU LA?
Bila shaka CDM watafanyia kazi ushauri wako.Mimi nashauri afukuzwe uanachama aende akaungane na Makalla
Mbona unajirudia? Nakubaliana na wewe kuwa wasipoteze muda na " kangaroo court" wamfukuze tu uanachama. Shida iko wapi. Si hata viongozi wa tawi lake wanaweza kumfukuza?Huyo anatumiwa kisiasa na ma ccm, wamfukuze tu uanachama
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
m
kwamba hatukukemea kuhusu issue ya mzee kibao au unamaanisha nini? usalama wake binafsi inamaanisha nini kweny taarfa yenu? yeye mzima kwan nyie ni madaktar? kwann hamkuenda kumuona? Mbona Lissu alichangiwa na haohao maccm na haikua nongwa? Napata vijichembe vya kuniambia nyie ni WAHUNI na wadhalilishaji
Maswali ya kipumbavu hayo..mtu km anasema alipigwa akaumia hata km hakupigwa madam anasema anaumwa ni uungwana kwenda kumuona umwambie face to face km anafanya drama, chama gani kinaweweseka na ishu ya mtu mmoja..? hadi mnapoteza muda kuandika barua..? mambo mengine ni ya kumwambia face to face haihitaji barua, miongo 3 sasa mnahangaika na wasaliti, mmeshindwa kupata jibu la kesi ndogo ya wasaliti ndani ya chama mtaweza kupata majibu ya issue za kitaifa..? mnajenga chuki personal hata kumjulia hali mnaleta excuse za upumbavu kabisa..huyu ni kiongozi wenu si kiongozi wa ccm..!
Lengo kuu la CCM ktk tukio hili ni kujaribu kuharibu taswira na hadhi ya chama. HILI NDILO LINALOPASWA KULINDWA KWA NGUVU ZOTE...Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Ndugu Bams mimi hata sioni tatizo liko wapi kwenye hii ishu....Huu uliouandika ndiyo upumbavu wenyewe. Hujui chochote!!
Juzi usiku wanachama wa CHADEMA waliposikia Sigrada yupo hopitali ya Iringa wameenda mpaka hospitali ya Iringa, walimpigia aliyetoa hiyo taarifa, akawathibitishia kuwa mgonjwa yupo hospitali ya Iringa. Walipomwambia kuwa wapo kwenye gate la hospitali, alikata simu, na hakupokea simu yoyote. Watu wamekaa kwenye gate la hospitali mpaka saa 2 usiku, baadaye taarifa inatoka kuwa Sigrada yupo Dodoma. Hiyo ambulance ilipita wapi hata watu wasiione wakati gate la kutokea ni moja? Uchunguzi baadaye ulithibitisha kuwa wakati wanaambiwa Sigrada yupo hospitali ya Iringa, hakuwepo. CCM waliingia hospitali ya iringa na Sigrada na kumwambia daktari wa zamu aandike rufaa ya kwenda hospitali ya Benjamin Mkapa. Daktari alipowaambia kuwa hawezi kuandika rufaa bila ya kumpima mgonjwa, CCM wakaamua kuondoka na mgonjwa.
Kwa mazingira yaliyopo watu wa CHADEMA hawatakiwi kumwona Sigrada. Atakayelazimisha anaweza anaweza kuishia kubambikiziwa kesi.
Kama Sigrada anaumwa kweli au haumwi, kama anaumwa kwa kiwango kinachosemwa au sivyo, kilolicho muhimu ni kuwa yupo hospitali, na bila shaka anapata huduma nzuri. Mengine yatajulikana baadaye. Ila hofu ya wengi, CCM wasije wakamfanyia uovu, maana wameanza kutengeneza mazingira yanayotia shaka sana. Mtu aliyeendesha gari toka ukumbi wa kikao mpaka baa, wanasema alipigwa mpaka kuwa mahttuti.
Kumpiga mtu yeyote, iwe sana au kidogo, ni hatia, lakini exageration na kutumia mkasa wa mtu kwa dhamira chafu ni ushetani wa hali ya juu.
WanaCCM, kama mtu mmoja mmoja, wapo watu wema na wazuri, lakini CCM kama taasisi, ni chama shetani ambacho hakina huruma wala upendo kwa mtu yeyote mkosoaji wa CCM, serikali yake au viongozi wake.
CCM ndiyo inatajwa kuendesha ushetani wa utekaji na mauaji ya wakosoaji, halafu leo ikawe na upendo kwa kiongozi wa CHADEMA!! Ndiyo maana wengi wana hofu juu ya usalama wa Sigrada kwenye mikono hatari ya CCM.