Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Hizo ndio njama zao za kutaka kuchakachua maana sehemu nyingine tulikuwa tunaambiwa wamegoma kusign kumbe wanarekebisha mambo yao naona na yeye anataka kutumia mbinu hizo hizo
 
Demokrasia ya kweli lazima watu waipiganie nawapa hongera sana Wanampanda kwa kazi nzuri kuhakikisha kuwa hakuna mchakachuo wowote ule.
 
Jamani hii ni habari nzuri sana hasa ukizingatia Mh.Arfi ni kiongozi wa ngazi ya juu ktk CHADEMA.
Personally am extremely excited and happy mpaka usiku huu nipo macho nilikuwa nasubiria matokeo.
Arfi oyeeeeeeeeeeeeeeee!
 
kuna post nyingine hapo by mwanakijiji inasema kuwa chadema wameshinda ila kafupi hataki kusign
 
Tunamshukuru mungu wametanganza rasmi tume na sasa tuko hapa kwa mbungewetu said arfi tunashangilia arfi ameshinda kwa kura 50 tu haya sasa nimatokeo rasmi. Mungu mkubwa ashukuriwe amin
 
wihanzi sherehekea sasa,matoke rasmi yametangazwa na tume kama dkk20 tu zilizopita,chadema wameshinda kwakura 50tu,sasa tupo eneo lamadukani kama mita mia200 hivi hivi kutoka kwenye nyumba yapinda ndipo nyumbani kwambungewetu tunasherekea mpaka asubuh,
 
Tunamshukuru mungu wametanganza rasmi tume na sasa tuko hapa kwa mbungewetu said arfi tunashangilia arfi ameshinda kwa kura 50 tu haya sasa nimatokeo rasmi. Mungu mkubwa ashukuriwe amin

Asante sana na hongera kwa kazi nzuri. Mpeni hongera Ndugu Arfi na safari njema kwenda Dodoma kuapishwa kesho kutwa! Nadhani sasa viti viwili maalumu vitapakatikana.
 
Tunamshukuru mungu wametanganza rasmi tume na sasa tuko hapa kwa mbungewetu said arfi tunashangilia arfi ameshinda kwa kura 50 tu haya sasa nimatokeo rasmi. Mungu mkubwa ashukuriwe amin
Asanteni wana Mpanda - wao wana pesa na dola, sisi tuna Mungu na haki.
 
Tunamshukuru mungu wametanganza rasmi tume na sasa tuko hapa kwa mbungewetu said arfi tunashangilia arfi ameshinda kwa kura 50 tu haya sasa nimatokeo rasmi. Mungu mkubwa ashukuriwe amin

Kuna habari kuwa Mh. Said Amour Arfi wa Chadema amepata Jumla ya kura 8887 na mpinzani wake Ndg. Sebastian Simon Kapufi kutoka CCM amepata Jumla ya kura 8019 na matokeo yamekwishatangazwa lakini Bw.Kapufi ameyakataa.Habari kutoka Nkenge zinasema kuwa Mama Asumptha Nshunju Mshama wa CCM amekuwa mshindi wa Jimbo la Nkenge.
 
Owe... owe owe owee... Owe...... owe..... Haya matokeo ni indicator ya what is gonna happen 2015. Walio sekondari wote watapiga kura wakati huo. Na ndo naanza nao hawa soon.
 
mwawando nakupa live bila chenga msimamiz wa uchaguz wa mpanda mjini ameshamtangaza SAID AMOUR ARFI KUWA NDIE MBUNGE MTEULE WA MPANDA MJINI NAmdahuu wanampanda wanashangilia
 
Tunamshukuru mungu wametanganza rasmi tume na sasa tuko hapa kwa mbungewetu said arfi tunashangilia arfi ameshinda kwa kura 50 tu haya sasa nimatokeo rasmi. Mungu mkubwa ashukuriwe amin

Mwera what a news???? natamani ningekuwa hapo nami nasherekea, maana ushindi huo unaongeza presence ya CHADEMA nyanda za juu kusini ikizingatiwa kuwa unafuta kabisa ile dhana ya CHADEMA ni cha kikabila na kidini. zaidi ya yote huyu ni moja ya viongozi wetu chadema. sasa inakamilisha safu ya viongozi wote wakuu kuwa wabunge ukiacha Dr. Japo naye ni mshind on his own way

Asante sana. You have my sincere thanks (kwa mimi mtoka nyanda za juu kusini
 
Hiyo ni sh 1 muhimu katika 100 iliyopatikana!! Kikwete unaufahamu ukweli kabisa ya kwamba unaongoza watu waliokukataa! Tambo majivuno na ushindi wa wenu wa kimbunga kimekuwa hurricane kwenu. Dr Slaa you are my HERO!
 
Mwera naomba pia upige kelele sana on my behalf pia ili pinda apate ujumbe kuwa mpanda siyo sumbawanga mjini walipochakachachua na kuhakikisha mtu wao anashinda kwa kura 196. shout mpaka dodoma isikie na waambie waseme waliosema chadema ni cha kaskazini na cha wakritooo. hilo hakika ni bao jingine tena kali asante
Inshallaah tutafika
 
[QUOTEihanzi;1262451]Mwera what a news???? natamani ningekuwa hapo nami nasherekea, maana ushindi huo unaongeza presence ya CHADEMA nyanda za juu kusini ikizingatiwa kuwa unafuta kabisa ile dhana ya CHADEMA ni cha kikabila na kidini. zaidi ya yote huyu ni moja ya viongozi wetu chadema. sasa inakamilisha safu ya viongozi wote wakuu kuwa wabunge ukiacha Dr. Japo naye ni mshind on his own way

Asante sana. You have my sincere thanks (kwa mimi mtoka nyanda za juu kusini[/QUOTE]
 
[/quote]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…