Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

[/QUOTE]
Asanteni lakini jitahidi wenzako watoke nje na sijui lini tutakuwa na jeshi la polisi linaloheshimu sheria na lisilopendelea upande.
 
[/QUOTE]

Pole sana Mwera na pole zaidi kwa wenzetu kuwepo kituoni, lakini naamini watatoka tu, haya ndiyo mapambano dhidi ya udhalimu na wadhalimu na hii ndo njia peke tutawatoa hawa wezi mmoja baada ya mwingine. Nisikuchoshe mkuu sherehekea kwa bidii maana hilo ni bao na tusi kwa PM tema uwanjani kwake. tumefunga magoli mawili. hawatasema tena ni chama cha kikabila wala cha kidini. watafute sababu nyingine I guess watasema ni chama cha vijanaa so kisipewe kura hahahahaaaaa
 
Pangilia vizuri basi madilu ingawa furaha ndio inakuharakisha sasa hazisomeki

Jina la kituo chadema ccm Jumla ccm chadema K-zilizoharibika Azimio 1, Chadema (124), CCM (23), 124 23 147 58.64% 41.36% 0.00% Azimio 2, Chadema (72), CCM (62), 72 62 134 Azimio 3 Chadema (88), CCM (49), 88 49 137 Azimio 4, Chadema (72), CCM (55), 72 55 127 Azimio 5, Chadema (72), CCM (62). 72 62 134 Katika kituo cha Paradise 1, Chadema (64), CCM (62), 64 62 126 Paradise 2, Chadema (94), CCM (55), 94 55 149 Paradise 3, Chadema (100), CCM (68), 100 68 168 Paradise 4, Chadema (94), CCM (63), 94 63 157 Majengo Chadema (73), CCM (65), 73 65 138 Makanyagio 1, Chadema (64), CCM (63), 64 63 127 Makanyagio 2, Chadema (86), CCM (59). 86 59 145 Makanyagio 3, Chadema (103), CCM (73), 103 73 176 Makanyagio 4, Chadema (92), CCM (64), 92 64 156 Makanyagio 5, Chadema (88), CCM (69), 88 69 157 Isikama 1, Chadema (90), CCM (67), 90 67 157 Isikama 2, Chadema (108), CCM (78), 108 78 186 Isikama 3, Chadema (90), CCM (73). 90 73 163 Jumla 1574 1110 2684 Tofauti 464 -464 0
 

Pole sana Mwera na pole zaidi kwa wenzetu kuwepo kituoni, lakini naamini watatoka tu, haya ndiyo mapambano dhidi ya udhalimu na wadhalimu na hii ndo njia peke tutawatoa hawa wezi mmoja baada ya mwingine. Nisikuchoshe mkuu sherehekea kwa bidii maana hilo ni bao na tusi kwa PM tema uwanjani kwake. tumefunga magoli mawili. hawatasema tena ni chama cha kikabila wala cha kidini. watafute sababu nyingine I guess watasema ni chama cha vijanaa so kisipewe kura hahahahaaaaa[/QUOTE]
wakisema chama chakidini wanakusudia chakikristo lakin huyu arfi nimwarabu nanikiongozi wajumuiya ya istikama yakiislam ambayo inasimamia miskiti yote ya ibadh ktk east africa,kuhusu udini hilo wamefulia watafute propaganda ingine,chadema juu cuf juu nccr juu wanamageuzi wote juu Peopleees power!!!
 
Asanteni lakini jitahidi wenzako watoke nje na sijui lini tutakuwa na jeshi la polisi linaloheshimu sheria na lisilopendelea upande.[/QUOTE]
wenzangu watatoka tu police,tumeshaongea nambunge wetu mteule anasema anashugulikia kuwatoa haraka iwezekanavyo,
 
Wako wapi wanaosema CHADEMA ni chama cha kidini na cha kikabila, CCM wana matatizo ya akili
 
Wako wapi wanaosema CHADEMA ni chama cha kidini na cha kikabila, CCM wana matatizo ya akili
Tangu CDM imeanzishwa haijawahi kuhusishwa na udini. Tatizo ni viongozi wa kikristu walipoamua kumpa sapoti Padri mwenzao kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
 
Hongera wanademokrasia wa Mpanda..mmehakikisha hakuna kulala mpaka kimeeleweka.
 
vipi matokeo ya lile jimbo jingine waliofanya uchaguzi leo?
 
NEC ni upuuzi mtupu wala tusiitaje hapa JF. Yaani inichefua mbaya.
 
Saafi sana CHADEMA. Hili jimbo piga ua tunalichukua. CCM walie tu!!!!!!!!!!!!!!!!
Nasubiri kwa hamu kuona kama haya MATOKEO yata-tally na yale ya NEC!
Je,NEC wataendelea na mchezo wao wa kuchakachua au wamejifunza kutokana na upuuzi wao wa 31 Oktoba?
Tusubiri.


bora usubiri tuu..suala si hadi watangaze?:smile-big:
 
Peopleeeeeezzzzz!!!! Poweeeeeeeerrrr!!!!! Asante sana Mwera kwa kutuhabarisha, hii ni furaha ya wapenda maendeleo wote.
 
watani wangu wafipa woteee POSUTAAAA!!! oooh tataitu kalesaa hahaaaa ntarudi swanga one day i love swanga CHADEMA hoyeeeeee kuanzia chanji kizwite katandala mazwi sumbawanga wenyeji regina mundi king'ombe izia chademaaaaaa hoyeeee jangwani paleeeee ahsante sana mpiganaji arfi wewe ni mshindi ccm a mere loser
 
Back
Top Bottom