Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

That was close! Hongera Mh Said Amour Arfi kutetea kiti chako.


It was so close, lakini kwa matokeo ya awali ambayo yapo kwenye topic nyingine, yanaonyesha Arfi ameshinda kwa kura 50.

Lakini hili linaonyesha Arfi amemshinda mwenzake kwa kura 609
 
adi tume itangaze au mmesaau seemu zilizochakachuliwa kwa kuongeza kura moja tu na wa ccm akawa mshindi, mana ccm ndio tume......
 
That was so close for ccm kuyachakachua duh wemeamua kuwa fair au kwa kuwa wako dom wanafyonza kuku wa kienyeji kwa murija wa shisha
 
Inaelekea watu hamkupata somo matokeo yaliyopita. Haya matokeo ni "fraction of a second" CCM kuyatangaza kinyumenyume (reverse). Naona tumesahau ya Segerea na Karagwe. Yangu masikio maana sipo mpanda kuona kwa macho


Yalikuwa yatangazwe jana usiku, lakini msimamizi akakubaliana na wagombea wote baada ya kurudia kuhesabu kura mara 3, kuwa due to security reasons, matokea yatangazwe leo mchana kweupe.
 
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232

Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.
Asante Mungi kwa taarifa, Wana mpanda mmefanya uamzi wa busara, msiondoke kabla ya matokeo kutangazwa, watachakachua!
 
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232

Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.

Hongera CHADEMA. Tunaamini wachakachuaji hawatafanya hivyo ukuzingatia taarifa toka gazeti la Tanzania Daima kwamba zilihesabiwa mara tatu.
 
Mhe.SAID anatakiwa akawahi Bungen leo kwa Kula kiapo chake cha UTIII na kuoneshwa mahala pake kuketi
 
Wana mpanda mjini msilale, lindeni kura kwa nguvu zote, mnatakiwa kuizunguka ofisi za tume/ manispaa mkiwa vifua wazi na marungu na mapanga (kama tulivyo fanya wana CDM Mwanza) adi msimamizi amtangaze mgombea wetu, otherwise kura zetu zitachakachuliwa tena mapema kabisaaaa, yaaani mitaa hiyoo mkimuona mizengwee pinda pigeni mwanuu wa mwiziii na mshugulikieni vilivyoo
 
Kwani JF tawi la Chadema?


Ukweli ni kwamba wenye kisomo, waelewa wa hali halisi ya nchi yetu, wenye access ya internet walio wengi (achana na kundi la Kibunango,Acid....etc) wapenda demokrasia changanya na wale waliokosa chochote toka CCM wote ni Chadema by default, kuhusu Mpanda mimi siwezi kupongeza chochote kwani kama haki ingetendeka basi koo langu lingekauka kwa kutuma pongezi,Hivi jamani hamuelewi kuwa hata kama Chadema watasimamisha mbwa kwenye majimbo ya mijini kote watashinda?...CCM is a dead walking coffin
 
ushindi wake unaambatana na nyongeza ya kitu maalum cha mwanamke?
 
ushindi wake unaambatana na nyongeza ya kitu maalum cha mwanamke?

chadema tayari wana viti viwili ambavyo NEC ili-hold kusubili uchaguzi huuuu, Kwa CCM 2 Chadema 2 na CUF 2
 
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232

Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.

MATOKEO MENGINE ZANZ.CCM 1 CUF 3: MWanakwerekd. CCM 2975 CUF 1971. MAGOGON CUF 4033 CCM 3264 .WETE CUF 4908 CCM 561.MTONI.CUF 4097 CCM 2738
 
ila watu waliojitokeza ni wachache sana, wengi waliojitokeza ni vijana. Wakina mama wao hawakuwa wengi

Watu kuwa wachache inachangiwa sana na nec haiaminiki hivyo watu wanaona wale wanaowapigia kura hawashindi, ahsante Wa Ndima kwa taarifa hiyo ya Mpanda mjini.
 
Watu kuwa wachache inachangiwa sana na nec haiaminiki hivyo watu wanaona wale wanaowapigia kura hawashindi, ahsante Wa Ndima kwa taarifa hiyo ya Mpanda mjini.


Pia walikuwa wanawatishia watu kama hawakupiga kura katika uchaguzi wa awali (wa rais na madiwani) hawatoruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom