That was close! Hongera Mh Said Amour Arfi kutetea kiti chako.
Inaelekea watu hamkupata somo matokeo yaliyopita. Haya matokeo ni "fraction of a second" CCM kuyatangaza kinyumenyume (reverse). Naona tumesahau ya Segerea na Karagwe. Yangu masikio maana sipo mpanda kuona kwa macho
Hongera wana Mpanda, Chadema, Jf na wapenda mageuzi kwa ujumla
Asante Mungi kwa taarifa, Wana mpanda mmefanya uamzi wa busara, msiondoke kabla ya matokeo kutangazwa, watachakachua!Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232
Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232
Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.
Kwani JF tawi la Chadema?
ushindi wake unaambatana na nyongeza ya kitu maalum cha mwanamke?
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232
Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.
ila watu waliojitokeza ni wachache sana, wengi waliojitokeza ni vijana. Wakina mama wao hawakuwa wengi
Watu kuwa wachache inachangiwa sana na nec haiaminiki hivyo watu wanaona wale wanaowapigia kura hawashindi, ahsante Wa Ndima kwa taarifa hiyo ya Mpanda mjini.