Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa

Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni
Azimio 1, Chadema (124), CCM (23),
Azimio 2, Chadema (72), CCM (62),
Azimio 3 Chadema (88), CCM (49),
Azimio 4, Chadema (72), CCM (55),
Azimio 5, Chadema (72), CCM (62).

Katika kituo cha Paradise 1, Chadema (64), CCM (62),
Paradise 2, Chadema (94), CCM (55),
Paradise 3, Chadema (100), CCM (68),
Paradise 4, Chadema (94), CCM (63),
Majengo Chadema (73), CCM (65),
Makanyagio 1, Chadema (64), CCM (63),
Makanyagio 2, Chadema (86), CCM (59).
Makanyagio 3, Chadema (103), CCM (73),
Makanyagio 4, Chadema (92), CCM (64),
Makanyagio 5, Chadema (88), CCM (69),
Isikama 1, Chadema (90), CCM (67),
Isikama 2, Chadema (108), CCM (78),
Isikama 3, Chadema (90), CCM (73).

Imetulia vizuri sana hiyo na bado!
 
mkoa kwa mkoa sisiem wanachakachua mbaya hii wameshindwa kwa sababu saa hizi roho ziko juu juu wakifikiria uwaziri mkuu uwaziri na unaibu otherwiz ungeckia tofauti
 
Hata hivyo, Dikson Kashula alionyesha furaha yake pamoja na vijana wengine wakidai kuwa kutojitokeza kwa akina mama kupiga kura kunaipa nafasi kubwa ya ushindi Chadema kwani vijana wengi walipiga kura asubuhi na mapema mara tu baada ya vituo kufunguliwa kwani wanadai vijana hao waliweza kujihimu vituoni kwa kuwa walikesha wanadaka kumbikumbi mitaani.
 
Matokeo wameshahesabu mara mbili, wana,alizia mara ya tatu chadema a aongoza kwa kura 150 zaidi tu. Lisiingizwe sanduku feki angalieni wana mageuzi

washukuru Mungu Pinda yuko Dodoma analobby kurudishwa u-PM. Angekuwa mpanda angeingiza masanduku kama alivyofanya sumbawanga mjini.
 
Kuna tetesi kutoka mpanda mjini kuwa CHADEMA wamechukua jimbo kwa uchaguzi wa jana.
Tushirikiane kupata habari kamili.
Source: Jamaa yangu yuko Sumbawanga.
 
Nimesikia pia kwenye kipindi cha magazetini leo asubuhi wakinukuu gazeti la Tanzania Daima
 
Hongereni sana wana Mpanda, huu ni ujumbe mzito sana kwa Fisadi wote na wachakachua matokeo aka "wahaini"
 
I am to wait for the final results, CCM hawaaminiki kabisa
 
Uko si ndo kwa the former PM Pinda?
Mwaka huu hana kibarua
 
Wana mpanda mjini msilale, lindeni kura kwa nguvu zote, mnatakiwa kuizunguka ofisi za tume/ manispaa mkiwa vifua wazi na marungu na mapanga (kama tulivyo fanya wana CDM Mwanza) adi msimamizi amtangaze mgombea wetu, otherwise kura zetu zitachakachuliwa tena mapema kabisaaaa, yaaani mitaa hiyoo mkimuona mizengwee pinda pigeni mwanuu wa mwiziii na mshugulikieni vilivyoo
ni kweli hivi ndivyo inatakiwa vinginevyo watawashangaza kwa matokeo hasi. kazeni buti hali iwe tete zaidi
 
CCM mke wao ameshinda, nimepigiwa simu na mtu wa Halmashauri Missenye licha ya turn up hafifu uwezi amini.


Uko watu waliamua kutochagua kufuatia kasheshe la Karagwe na hizi ni wilaya zinapakana kwa mipaka. Lakini hata kama turn up ingekuwa kubwa ingekuwa vigumu kumshinda huyu maana maana Mageuzi halisi ilikuwa pale alipobwagwa Dr feki (kamala). Kwa mkoa wakagera naona mageuzi yaliaanzia ngazi ya chama fisadi kwa hiyo watu wakawa hawana sababu ya kuchukia hawa wapya
 
CHADEMA: 8841
CCM : 8232

Source: Tanzania Daima.
 
Back
Top Bottom