CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

Kwakuwa walivipora basi Hilo rulikubali,Sasa vimewashinda waziuzie serikali za miji,majiji na wilaya ilibviwe Mali za serikali.Kwa kupanga bajeri ya pesa za serikali kujenga viwanja vya chama kimoja huo ni WIZI na hapo wizara husika wamepotoka.
Umesema walipora halafu wauze walizopora?
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;

"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."

"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati"

"Kama Bunge wakipitisha matumizi haya, na watapitisha kwa sababu ni Bunge la Chama kimoja, mwakani wanaweza kuja na bajeti ya kukarabati ofisi za CCM."
MACCM NI MAJIZI HAWANA AIBU HAWA
 
CCM ni taasisi kubwa inayounda serikali. CCM ni chama dola ambacho kinaendesha shughuli zote za umma.

Hata hivyo viwanja ni vya umma maana hakuna unabaguzi wa aina yeyote katika matumizi. Vyama vyote na makabila yote yanavitumia.

Kwa hiyo matumizi ya hizo hela yapo sahihi
Kwani wanavitumia bure, hivi unaweza kukarati guesthouse ya mtu kwa vile nawewe huwa unaitumia.
 
Nimesoma ila ccm hawawezi kuvirudisha kwa sababu ni mali yao,pia serikali haiwezi kuacha kuvikarabati kwa sababu inatakiwa kuandaa Mashindano ya AFCON na hakuna muda wa.kutosha wa kujenga viwanja vipya kabla ya 2027.
Dah wewe ni mgumu sana kuelewa, wavikarabati kwa ajili ya AFCON kwa makubaliano gani kati ya CCM na serikali.
 
Wewe ni mjinga, kwani kuingia makubaliano kuna shida? Hujaona hapo Serikali inasema inashauriana na wamiliki?

Kwani ikiweka pesa itashindwa kuzi recover kwenye viingilio?
 
Kupinga kila kitu bila reasoning ni upumbavu..

Kwani serikali haiwezi kuwa wabia na hao CCM na kugawana mapato kuliko ilivyo sasa kwamba pesa zote zinaenda ccm?

Huu ni ujinga,ikizingatiwa kwamba Serikali inajiandaa na Mashindano ya AFCON 2027,, ukisema ujengw saizi sidhani kama unaweza maliza viwanja kwa miaka 3 au 4 ..
Huo ubia umeanza lini,upumbuvu umeonesha wewe sasa.
 
Kupinga kila kitu bila reasoning ni upumbavu..

Kwani serikali haiwezi kuwa wabia na hao CCM na kugawana mapato kuliko ilivyo sasa kwamba pesa zote zinaenda ccm?

Huu ni ujinga,ikizingatiwa kwamba Serikali inajiandaa na Mashindano ya AFCON 2027,, ukisema ujengw saizi sidhani kama unaweza maliza viwanja kwa miaka 3 au 4 ..

Kijana mpumba.vu sana!!! Kwa ujing.a aka kutojua unatoa suluhisho la kijinga. Umesikia wanasema kutakuwa na ubia kati ya CCM na serikali?

Kama serikali haiwezi kukarabati shule, vyuo, hospitali binafsi au zinazomilikiwa na taasisi za kidini - basi haiwezi kukarabati viwanja ambavyo mpaka sasa vinamilikiwa na CCM vilivojengwa kipindi cha “chama kushika hatamu” kwa michango ya wananchi (waliolazimika kuwa wanaCCM) na kupata fedha kidogo (kama gheresha) lakini serikali ikajenga kwa kutumia fedha za umma!!

Dawa ni kuvirejesha kwa serikali (umma) na kisha kutumia fedha za umma kuvitengeneza. Kama serikali haina viwanja, basi CCM ivikarabati na ipate mapato kutokana na matumizi yake!
 
Unaelewa maana ya kujadiliana na wamiliki?

Huu ndio upumbavu wenyewe uliokujaa sasa..
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;

"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."

"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati"

"Kama Bunge wakipitisha matumizi haya, na watapitisha kwa sababu ni Bunge la Chama kimoja, mwakani wanaweza kuja na bajeti ya kukarabati ofisi za CCM."
Mungu ibariki Chadema
 
SIO SAHIHI KABISA CCM NI CHAMA KINA RUZUKU KUBWA KINA WANACHAMA WENGI KWANINI WATUMUE KODI ZA WANANCHI KWA SHUGHULI ZA CHAMA? SIONI HATA UMUHINU WA MARIDHIANO KWA UBABE HUU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
FC8FE68D-C2E2-45B8-86BA-11FB9E42F8D7.jpeg
 
Tunaposema serikali ya CCM, maana yake fedha za serikali ni fedha za CCM pia…. jifunzeni.

Tatizo hamjui what it means chama kuunda serikali.
 
Kupinga kila kitu bila reasoning ni ujinga
Kukubali kila unaloambiwa bila kuhoji ni zaidi ya ujinga, unataka pesa za umma zikarabati uwanja wa chama cha siasa kwa kifungu gani cha sheria, kingekuwa kiwanja cha taifa sawa.
 
Back
Top Bottom