Viwanja.vyote virudishwe kwa umma wa.Watanzania ili halmashauri zetu ziongeze mapato.Halafu huyo waziri.kwa nini aombe ukarabati wa viwanja hivyo kwa kutumia fedha ya serikali wakati anajua kabisa kwamba mmiliki ni CCM au vimerudishwa kwa wananchi ?.Atamke kabisa sasa viwanja vyote ambavyo viliporwa na ccm vyote vimerudishwa kwa wananchi,tofauti na hapo huu ni wizi kama wizi mwingine. HIVI CAG yuko wapi ?