CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

Umesahau habari zake za kukopesha chama, Umesahau namna akina lijualikali walivyolalamika michango yao kutafunwa
Baada ya Lijuakali kuomba ukuu wa wilaya bungeni kwa kumwaga chozi , viongozi wa Chadema waliitwa Takukuru , uliwahi kusikia Takukuru ikileta fyoko fyoko yoyote ? kumbuka hapo ilikuwa ile awamu ya Dikteta nduli .
 
Kwenye uchaguzi CCM Ina nadi ilani yake wakati Chadema ilani yake Ni mgombea mwenyewe ambaye hujiropokea kinachomjia mdomoni
wengi waliojiapiza kuua chadema wamekufa , kuwa makini na maandishi yako , Mungu hataniwi
 
wengi waliojiapiza kuua chadema wamekufa , kuwa makini na maandishi yako , Mungu hataniwi
Chadema imejimalizA yenyewe kwa kukosa dira na muelekeo unaoeleweka, Ni chama kilichokosa Sera na ajenda za kueleweka kwa watanzania,ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
 
Chadema imejimalizA yenyewe kwa kukosa dira na muelekeo unaoeleweka, Ni chama kilichokosa Sera na ajenda za kueleweka kwa watanzania,ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
waulize walikuishia masikini waliotumwa kama wewe
 
Baada ya Lijuakali kuomba ukuu wa wilaya bungeni kwa kumwaga chozi , viongozi wa Chadema waliitwa Takukuru , uliwahi kusikia Takukuru ikileta fyoko fyoko yoyote ? kumbuka hapo ilikuwa ile awamu ya Dikteta nduli .
Sasa michango Kama ya join the chain kwani Mbowe huwa anawapa hesabu zake hata zikija kukaguliwa? Mpaka Sasa Hakuna anayejuwa kiasi kilichochangwa na namna zilivyotafunwa zaidi ya kuona ukimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…