CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

hoja iliyo tolewa kistaarabu ndio hujibiwa kwa hoja kinyume chake utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Wewe bado unaishi kwa kivuli cha mtu ambaye alishaondoka tayari hapa duniani! Zile enzi za kumnyenyekea na kumtukuza mwanadamu kama Mungu, hazipo tena!

Na mkiendelea na upuuzi wenu wa kuwaonea raia, huku mkidhani mnamfurahisha Mama! Basi mjiandae tu kufyekelewa mbali. Ni yule mtukufu wenu pekee ndiye aliyefurahishwa na hayo matendo yenu ya kutishia na kuwaumiza watu.
 
Tunajadili katiba ya nchi na siyo vitabu vya dini. Kuna maelfu ya Watanzania hawafuati hivyo vitabu.
hakuna kifungu cha katiba kilicho kiukwa, ndio maaana tunaye Mwana sheria Mkuu wa Serikali.
tusifuate hoja zinazotoka Ubelgiji.
Ubelgiji na Tanzania ni mataifa mawili tofauti kabisaa.
Mtu ananukuu katiba ya Ubelgiji halafu anataka watanzania waifuate! si kichekesho hicho.
 
... hivi issue ni kuapa mbele ya Rais fulani au ni kuapa mbele ya Rais? Nakosa kuelewa.
Mbele ya Raisi aliyeapa na anateua watakao apa kwake, kiapo ni kuapa kwa mtu japo title itakuwepo, mfano ukibadili dini lazima uape kwenye hiyo dini mpya, kuolewa tena lazima uape kiapo kipya japo tittle ipo ya mume so kiapo lazima waape upya watu wote wanaoapa kwa Raisi kwa vile ndivyo inavyopaswa kuwa.
 
Sisi tunawasubiri 2025 wakati wa kuja kuomba kura. Pengine kura za Kanda ya Ziwa hawazihitaji watajikita kanda zingine
Ondoa mapema hizo hisia zako za ukabila! Muasisi wenu ameshatangulia mbele za haki. Kwa sasa ni wakati muafaka wa kuijenga Tanzania mpya. Tanzania isiyo amini katika ukabila, undugu, ukanda, PhD, nk.
 
Mkuu hapo umemzungumzia makamu wa rais au mtu anayekaimu ofisi ya rais pindi rais akipata dharura ya kutowepo ofisin, lakini Mama Samia kwa sasa sio makamu wa rais na wala hajateuliwa kukaimu urais bali yeye ni Rais kamili mwenye mamlaka!
 
Kwa Point yako, Kwahiyo Sasa hivi Mama hana mamlaka kisheria ya kulivunja bunge, au kumwondoa waziri yeyote aliyechaguliwa na hayati? Acha kutupotosha vinginevyo nyie Ndiyo hamwelewi vizuri mtiririko wa vifungu hapo!
 
Kaa pembeni mchumia tumbo na mganga njaa wee!
 
Hao wote wana kiapo cha utii kwa Marehemu JPM, kiapo huwa hakirisishwi hata kidogo

CDM mpo sahihi 100%
 
unataka wasujudie kama mlovyomsujudia mwenda zake?????
 
Kwa sasa hakuna baraza la mawazili kuna waganga njaa tuu
 
ACHENI UZWAZWA NA UJINGA WENU WA KUSHINDWA KUSOMA KATIBA HUYU SIYO RAIS MTEULE,RAIS MTEULE NDIYE ANAYETAKIWA KUUNDA BARAZA UPYA KATIBA INASEMA MARA BAADA YA KUAPISHWA ANATAKIWA KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI JE NI KINA NANI HAO? INA MAANA NI WALEWALE WALIOPO ACHENI KIJIFANYA MNAIJUA SANA KATIBA NYAMBAFUUUUUU NA KATIBU WENU ALIYEINGIA CHADEMA NA NDALA KIBOKO YAKE MDEE MPAKA LEO HAJAWAHI KUJIU HIYO INAWEZEKANA KWELI ALIENDA NA NDALA
 
Ukweli ambao utapingwa na wengi, ushauri mzuri mkuu
 
Kwa hiyo Mama Samia hafuati katiba?
Wasukuma mnateseka sana. Tulieni. Amuamini kama Lori la mkaa limezima mazima.
Katiba lazima ifuatwe na yeyote yule. kama mama yupo sawa, katiba iseme pia. Maisha yaendelee
 
Ondoa mapema hizo hisia zako za ukabila! Muasisi wenu ameshatangulia mbele za haki. Kwa sasa ni wakati muafaka wa kuijenga Tanzania mpya. Tanzania isiyo amini katika ukabila, undugu, ukanda, PhD, nk.

Kwahiyo mnavyowasimanga Wasukuma ni sawa. Nyie endeleeni tu na huu mchezo,utawagharimu 2025. Usidhani Kanda ya Ziwa hawasomi hizi kejeli zenu za “wqchinga Ng’ombe,Washamba na mengineyo mengi.
 
Nasisi tunaomba ilimwenyekiti wachama apatikane mwinginee pale chadema. Au katiba inasemaje palee
Sawa! Maombi yenu yamepokelewa, subirini mwenyekiti aende zake, kama mwendazake alivyo enda, alafu ombi lenu litatendewa haki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…