Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wewe bado unaishi kwa kivuli cha mtu ambaye alishaondoka tayari hapa duniani! Zile enzi za kumnyenyekea na kumtukuza mwanadamu kama Mungu, hazipo tena!hoja iliyo tolewa kistaarabu ndio hujibiwa kwa hoja kinyume chake utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Na mkiendelea na upuuzi wenu wa kuwaonea raia, huku mkidhani mnamfurahisha Mama! Basi mjiandae tu kufyekelewa mbali. Ni yule mtukufu wenu pekee ndiye aliyefurahishwa na hayo matendo yenu ya kutishia na kuwaumiza watu.