CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

Samia ni ccm anatekeleza ilani ya ccm chini ya mfumo unaosimamiwa na ccm
Hata JK alikuwa anatekeleza ilani ya CCM lkn utekelezaji wake ulikuwa tofauti na wa Magufuli so Samia.
 
Uko sahihi kuna mawaziri wako tangu utawala wa Mkapa na kila awamu tunaona wanaapa.
 
Hili swala la kuvunja baraza mzee maderu haliafiki kabisa, tena anaweza kutoa mtu nyongo...
 
Hahaaa!!!!ukwel mchungu huu
 
Hapana wala hukuteseka ila yalkuwa mahabba niue tu yalikuwa
 
Hv hukuwa ukimsikia akisema Tanzania ya mwendazke kabla ya kupewa makavu na mzee wa Lupaso
 
At least unakubali kuwa nilimpinga kwa mengi!
Ila kiukweli mkuu unateseka na kinachokutesa ni ukabila, badilika wote tu watanzania.

Na kingine Mama Samia Mungu ndio kamweka hapo alipo na ndio maana unaona mpaka sasa anakubalika na dini zote, jinsia zote, VYAMA VYOTE VYA SIASA, makabila yote.
 
Ila kiukweli mkuu unateseka na kinachokutesa ni ukabila, badilika wote tu watanzania.

Na kingine Mama Samia Mungu ndio kamweka hapo alipo na ndio maana unaona mpaka sasa anakubalika na dini zote, jinsia zote, VYAMA VYOTE VYA SIASA, makabila yote.
Usilazimishe.

Kama wewe unateseka, katafute therapy.

Usijifariji kwa kudai mimi nateseka. Hilo siyo suluhisho la kuteseka kwako.

Mimi niteseke na nini?

Kabila la Magufuli mimi limeninufaishaje?

Akili za nyumbu shida tupu.
 
akiyaweka mawazo yake ya kisheria , je watamsikiliza? Tundu Lisu, njoo uyaweke labda watakusikia
Huyo NI makamu mwenyekiti wa chadema na CCM Wana makamu mwenyekiti wao, Sasa nyumbu mbona mnahangaika na CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…