CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

Samia ni ccm anatekeleza ilani ya ccm chini ya mfumo unaosimamiwa na ccm
Hata JK alikuwa anatekeleza ilani ya CCM lkn utekelezaji wake ulikuwa tofauti na wa Magufuli so Samia.
 
Kama ni kuapa kwa rais kama taasisi, kulikuwa haja gani kwa mawaziri walioapa wakati wa JMK, kuapa tena wakati wa JPM ambapo waliteuliwa na JPM kuongoza wizara zilizile? Kiapo kwa maoni yangu kinaonesha utii kwa rais aliyepo madarakani pamoja na taasisi yake ya urais anayoiongoza.
Uko sahihi kuna mawaziri wako tangu utawala wa Mkapa na kila awamu tunaona wanaapa.
 
Hili swala la kuvunja baraza mzee maderu haliafiki kabisa, tena anaweza kutoa mtu nyongo...
 
Hahaaa!!!!ukwel mchungu huu
Ukipanic mh. Nyani, Ndo mateso yako yataonekana, just relax! Kwani kuna haja ya kuwa wakili wa mwendazake? Labda, na ulimwanzishiwa uzi hapa kwamba, kwa halaiki ile iliyo hatarisha maisha yao (kwa ujinga tu) wakaandamana, wakakanyagana, na labda, just Labda, wakaambukizana corona, alikua anapendwa saana! Inatosha ile mkuu, usitetee tena na usiteseke pia, sasa hivi ni zama mpya na kitabu ni kipya!
 
Hapana wala hukuteseka ila yalkuwa mahabba niue tu yalikuwa
Mna imaginations za ajabu kweli.

Nahisi nyinyi ndo huwa mnateseka.

Mimi niteseke kwa lipi?

Sijawahi kuwa mtumishi wa Magufuli.

Kibinafsi, simjui na hakunijua.

Sijawahi kuwa mtumishi wa serikali na kamwe sitokuja kuwa.

Najitegemea mwenyewe.

Sijawahi kupata handout yoyote ile toka kwa serikali yoyote ile.

Sijanufaika na chochote kile kutokana na urais wa Magu

Maisha yangu hayajabadilika kwa lolote lile.

Sasa cha kunitesa ni kipi? Waweza kunitajia?

Yaani kabisa umekaa hapo ulipo na kujiaminisha kwamba Ngabu anateseka?

Magufuli nimemkosoa sana humu JF. Unabisha?

Wewe uliteseka wakati Magufuli akiwa Rais?
 
Hv hukuwa ukimsikia akisema Tanzania ya mwendazke kabla ya kupewa makavu na mzee wa Lupaso
Unacoment kama vile chadema mko madarakani!

Hii ni ccm, Magufuli alikuwa ccm na Samia ni ccm, hiyo mitazamo mnayojaribu kuitengeneza sijui inawafaidishaje, ila ninachojua ccm ni ile ile chini ya mfumo uleule kama unabisha subiri 2025 uone utakavyogongwa
 
At least unakubali kuwa nilimpinga kwa mengi!
Ila kiukweli mkuu unateseka na kinachokutesa ni ukabila, badilika wote tu watanzania.

Na kingine Mama Samia Mungu ndio kamweka hapo alipo na ndio maana unaona mpaka sasa anakubalika na dini zote, jinsia zote, VYAMA VYOTE VYA SIASA, makabila yote.
 
Ila kiukweli mkuu unateseka na kinachokutesa ni ukabila, badilika wote tu watanzania.

Na kingine Mama Samia Mungu ndio kamweka hapo alipo na ndio maana unaona mpaka sasa anakubalika na dini zote, jinsia zote, VYAMA VYOTE VYA SIASA, makabila yote.
Usilazimishe.

Kama wewe unateseka, katafute therapy.

Usijifariji kwa kudai mimi nateseka. Hilo siyo suluhisho la kuteseka kwako.

Mimi niteseke na nini?

Kabila la Magufuli mimi limeninufaishaje?

Akili za nyumbu shida tupu.
 
akiyaweka mawazo yake ya kisheria , je watamsikiliza? Tundu Lisu, njoo uyaweke labda watakusikia
Huyo NI makamu mwenyekiti wa chadema na CCM Wana makamu mwenyekiti wao, Sasa nyumbu mbona mnahangaika na CCM?
 
Back
Top Bottom