Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Hamjaacha ujinga tu wa zama za jiwe?Chadema ni chama cha wachaga.
Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjaacha ujinga tu wa zama za jiwe?Chadema ni chama cha wachaga.
Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
Hata JK alikuwa anatekeleza ilani ya CCM lkn utekelezaji wake ulikuwa tofauti na wa Magufuli so Samia.Samia ni ccm anatekeleza ilani ya ccm chini ya mfumo unaosimamiwa na ccm
Uko sahihi kuna mawaziri wako tangu utawala wa Mkapa na kila awamu tunaona wanaapa.Kama ni kuapa kwa rais kama taasisi, kulikuwa haja gani kwa mawaziri walioapa wakati wa JMK, kuapa tena wakati wa JPM ambapo waliteuliwa na JPM kuongoza wizara zilizile? Kiapo kwa maoni yangu kinaonesha utii kwa rais aliyepo madarakani pamoja na taasisi yake ya urais anayoiongoza.
Mnyika: jk ni rais dhaifu sana,Hata JK alikuwa anatekeleza ilani ya CCM lkn utekelezaji wake ulikuwa tofauti na wa Magufuli so Samia.
Serikali ya Magufuli ni ya viwanda. 😄😄😄😄😄Mnyika: jk ni rais dhaifu sana,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndiodemocrasia yapale ufipaaSawa! Maombi yenu yamepokelewa, subirini mwenyekiti aende zake, kama mwendazake alivyo enda, alafu ombi lenu litatendewa haki!
Acha udini chuki yako utakufa nayo ,Zanzibar itabakia ile ile mpaka kiama kinasimama!Zanzibar sasa wamepata nafasi... Ngoja ajaze ijumaa tu.. Siunajua walivyo wadini
Kumbe hamchungi ng'ombe siku hizi eeh!!
Ukipanic mh. Nyani, Ndo mateso yako yataonekana, just relax! Kwani kuna haja ya kuwa wakili wa mwendazake? Labda, na ulimwanzishiwa uzi hapa kwamba, kwa halaiki ile iliyo hatarisha maisha yao (kwa ujinga tu) wakaandamana, wakakanyagana, na labda, just Labda, wakaambukizana corona, alikua anapendwa saana! Inatosha ile mkuu, usitetee tena na usiteseke pia, sasa hivi ni zama mpya na kitabu ni kipya!
Mna imaginations za ajabu kweli.
Nahisi nyinyi ndo huwa mnateseka.
Mimi niteseke kwa lipi?
Sijawahi kuwa mtumishi wa Magufuli.
Kibinafsi, simjui na hakunijua.
Sijawahi kuwa mtumishi wa serikali na kamwe sitokuja kuwa.
Najitegemea mwenyewe.
Sijawahi kupata handout yoyote ile toka kwa serikali yoyote ile.
Sijanufaika na chochote kile kutokana na urais wa Magu
Maisha yangu hayajabadilika kwa lolote lile.
Sasa cha kunitesa ni kipi? Waweza kunitajia?
Yaani kabisa umekaa hapo ulipo na kujiaminisha kwamba Ngabu anateseka?
Magufuli nimemkosoa sana humu JF. Unabisha?
Wewe uliteseka wakati Magufuli akiwa Rais?
Siluwahi kumpinga Rais Magufuli?Hapana wala hukuteseka ila yalkuwa mahabba niue tu yalikuwa
Lisu ni debe tupu ukiona mpaka sasa hivi hajapanua domo lake ujue anaona nyota nyota tu
Unacoment kama vile chadema mko madarakani!
Hii ni ccm, Magufuli alikuwa ccm na Samia ni ccm, hiyo mitazamo mnayojaribu kuitengeneza sijui inawafaidishaje, ila ninachojua ccm ni ile ile chini ya mfumo uleule kama unabisha subiri 2025 uone utakavyogongwa
Siluwahi kumpinga Rais Magufuli?
At least unakubali kuwa nilimpinga kwa mengi!Ulimpinga mengi tu ila ktk baadhi mahabba yalikupofisha
Ila kiukweli mkuu unateseka na kinachokutesa ni ukabila, badilika wote tu watanzania.At least unakubali kuwa nilimpinga kwa mengi!
Usilazimishe.Ila kiukweli mkuu unateseka na kinachokutesa ni ukabila, badilika wote tu watanzania.
Na kingine Mama Samia Mungu ndio kamweka hapo alipo na ndio maana unaona mpaka sasa anakubalika na dini zote, jinsia zote, VYAMA VYOTE VYA SIASA, makabila yote.
Huyo NI makamu mwenyekiti wa chadema na CCM Wana makamu mwenyekiti wao, Sasa nyumbu mbona mnahangaika na CCM?akiyaweka mawazo yake ya kisheria , je watamsikiliza? Tundu Lisu, njoo uyaweke labda watakusikia