Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini wajinyenyekeze? Kwani kuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii? Kila mtu apewe uhuru wa kuchangia mustakabali wa nchi na siyo ajinyenyekeze kwa wananchi wenzake!inaonekana chadema wanadhani ktk kipindi hiki chini Mhe. Rais Samia wanaweza kupenyeza ajenda zao na zikafaulu sijui!!!!
ni ngumu sana, labda kwanza waanze kujenga mahusiano mazuri na ushirikiano wa dhati vinginevyo watasubiria sana.
hakuna litakalo wezekana bila utii kwa mamlaka na unyenyekevu, vuruvuruu ndio inawa cost kila siku.
ndio maaana Hayati JPM aliwapotezea maaana aliamini kuwa hawana nia njema na serikali yake.
chadema mkitaka kweli kuijenga nchi yetu basi onyesheni utii na ushirikiano wa kujenga nchi, acheni malumbano yasiyo na tija. sote ni watanzania tuijenge nchi yetu kwa kutanguliza uzalendo mbele.
hakuna mshindi ktk kuijenga nchi bali kuna adui asiye itakia mema nchi yetu.
nchi ni yetu sote tuijenge nchi yetu sote kwa pamoja.
Ila buku 7 mnatia huruma siku zinaenda mbio sana.Washaanza,yani hawa watu hawa![emoji2]
Waseme kwanza wanaitambua serikali ni halali na ilipata ushindi halali uchaguzi uliopita.
Huyu ni miongoni mwa cabinet hataki baraza livunjwe maana ana hofu na kibarua chakeMbona unaficha hivyo vya juu? Au na ww umekaririshwa? Hayo masharti ni pale Rais kama kaenda nje ya nchi,anaumwa au kuna sababu nyingine ambazo zinapelekea kiti chake kulaliwa na mwingine kama VP kwa muda, hivyo atakayekalia icho kiti ndiye hawezi kufanya hayo, ila Huyu kashaapishwa ni Rais, halafu unasema hawezi badilisha waziri mkuu!, mnachekesha sana.
Subiri, Mama ataunda lake hawezi kwenda na wale wakina BitekoDuh, mbona huu waraka ni pacha na ule wa TLS? Kwa hiyo mliwatanguliza TLS ili kutengeneza njia? Lakini walishajibiwa kwa hoja za kisheria wakaufyata, sasa nyie mnataka mjibiwe kisiasa?
utii kwa mamlaka Ni AMRI ya MUNGU sio binaadamu, vitabu vya imani zote vina elekeza hivyo.Kwa nini wajinyenyekeze? Kwani kuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii? Kila mtu apewe uhuru wa kuchangia mustakabali wa nchi na siyo ajinyenyekeze kwa wananchi wenzake!
Uzalendo siyo kutii serikali iliyopo madarakani bali ni kuipenda nchi yako na kulinda kwa nguvu zote rasilimali zake. Rasilimali za nchi ni pamoja na wananchi wake!
Wanahangaika hawajui washike lipiIla buku 7 mnatia huruma siku zinaenda mbio sana.
Ngoja tusubiri na majibu kutoka kwa Mwigulu Nchemba.
Kwa hiyo Mama Samia hafuati katiba?
Mbona una-quote vifungu visivyohusiana na hali ya sasa? Tunajadili Makamu wa Rais ambaye anakuwa Rais baada ya kifo cha Rais aliye tangulia. Rais mpya!Kwani hawa wanaitambua hii serikali iliyopo madarakani mbona siwaelewi.
Ila katiba mbona imefuatwa au lazima tuyumbishe gari kwanza [emoji23][emoji23] hlf tuendeleeView attachment 1737654View attachment 1737657View attachment 1737655View attachment 1737656View attachment 1737658
Nasisi tunaomba ilimwenyekiti wachama apatikane mwinginee pale chadema. Au katiba inasemaje palee
Kwa nini baraza tu je wakuu wamikoa makatibu wakuu wakurugenzi na madc nao watoe kwakuwa hawakula kikao kwakeHili tukio la kufiwa na kiongozi mkuu (Rais) wa nchi ni jipya na geni kabisa na ukichanganya na namna au style lilivyotukia ndiyo inakuwa utata mtupu..
Inasemaekana kwa kuwa ni tukio ambalo katiba haijaliwekea utaratibu mahususi wa kulishughulikia, ilipelekea VP Samia Suluhu Hassani kubabaika kwa kiasi kikubwa...
Inasememekana aliogopa hata kutangaza kifo cha Rais. Hata alipopata ujasiri wa kutangaza akakosea kutangaza siku rasmi za maombolezo ya kitaifa kwa mujibu wa sheria. Badala ya 21 yeye akatangaza siku 14. Tunashukuru baada ya kupata utulivu alirekebisha...
Vivyo katika hili. Inawezekana bado ni ile hali ya kuweweseka tu inayowakabili...
Hili liko wazi sana. Ni lazima Rais mpya aunde serikali/baraza la mawaziri jipya litakalowajibika kwake moja kwa moja baada kula kiapo kwake. Hili lililopo limekufa pamoja na Rais wake...
Na kama Rais Samia Suluhu Hassani anataka kufanya kazi na kuwapenda hawahawa, basi atamke hivyo na kisha wafanye jambo moja tu muhimu, KULA KIAPO KIPYA KWA RAIS MPYA..
Na nchi hii inashangaza sana, maana ni kana kwamba haina Mwanasheria mkuu wa serikali ili kumshauri Rais vyema mambo yq kisheria na kikatiba...
Chadema ni chama cha wachaga.
Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
katiba ya nchi gani mkuu?Mkuu CHADEMA wapo kikatiba?
Tunajadili katiba ya nchi na siyo vitabu vya dini. Kuna maelfu ya Watanzania hawafuati hivyo vitabu.utii kwa mamlaka Ni AMRI ya MUNGU sio binaadamu, vitabu vya imani zote vina elekeza hivyo.
soma biblia au kuran.
Nadhani Lisu asaidie mawazo kuliweka sawa hili
Duh 🙄Utawala wa UJANJA UJANJA huu, dalili zimeonekana tangu awali. Hakutakuwa na tofauti yeyote na yule MHALIFU Mwendazake.
Chadema ni chama cha wachaga.
Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.