CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

Kwahiyo mnavyowasimanga Wasukuma ni sawa. Nyie endeleeni tu na huu mchezo,utawagharimu 2025. Usidhani Kanda ya Ziwa hawasomi hizi kejeli zenu za “wqchinga Ng’ombe,Washamba na mengineyo mengi.
Kumbe hamchungi ng'ombe siku hizi eeh!!
 
Chadema ni chama cha wachaga.

Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
Acha unazi uliovuka mipaka kwani ukipenda kitu au mtu ndo hata madhaifu na makosa usiyaone!?? Au yy ni malaika kwamba hawezi kukosea!??? Huo ni upofu

Mpende mtu au kitu ila anapokosea ona kuwa amekosea sio kumtetea kila kitu kwaiyo unataka kuniambia mimi naLissu ni wachaga??
 
Wasukuma mnateseka sana. Tulieni. Hamu amini kama Lori la mkaa limezima mazima.
Katiba lazima ifuatwe na yeyote yule.
Tunatesekaje sasa? Just a figment of your imagination.

Acha kujibunia mambo kichwani mwako ambayo hayana uhalisia wowote ule.

Mimi kwa mfano niteseke na nini hasa? Leo nimekosa siagi ya kupaka kwenye mkate au?

Labda wewe ndo ulikuwa unateseka na ndo maana sasa hivi unahisi na wengine wana hali kama uliyokuwa nayo.

Niteseke kwa lipi mimi? Nimekosa nini sasa hivi ambacho sikuwa nacho hapo awali?

Mawazo ya ajabu, ya kijinga, na ya kipumbavu kabisa hayo!

Don’t pass your insecurities over to me.

Siteseki na chochote kile.
 
Kwani hawa wanaitambua hii serikali iliyopo madarakani mbona siwaelewi.

Ila katiba mbona imefuatwa au lazima tuyumbishe gari kwanza [emoji23][emoji23] hlf tuendeleeView attachment 1737654View attachment 1737657View attachment 1737655View attachment 1737656View attachment 1737658
Acha kuchanganya mambo, hii sio tafsiri ya kilichokea, (rais aliesafari) kwani Magufuli amesafiri.?!

Mama Samia hakaimu kwa Magufuli aliekufa na kuzikwa.

Kwa sasa Mama ni Rais kamili. Amekula kiapo cha kuwa Rais. Katiba inamtaka asimame kama Rais kamili.
 
ACHENI UZWAZWA NA UJINGA WENU WA KUSHINDWA KUSOMA KATIBA HUYU SIYO RAIS MTEULE,RAIS MTEULE NDIYE ANAYETAKIWA KUUNDA BARAZA UPYA KATIBA INASEMA MARA BAADA YA KUAPISHWA ANATAKIWA KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI JE NI KINA NANI HAO? INA MAANA NI WALEWALE WALIOPO ACHENI KIJIFANYA MNAIJUA SANA KATIBA NYAMBAFUUUUUU NA KATIBU WENU ALIYEINGIA CHADEMA NA NDALA KIBOKO YAKE MDEE MPAKA LEO HAJAWAHI KUJIU HIYO INAWEZEKANA KWELI ALIENDA NA NDALA
Weka akiba ‘matusi’ yako, ili mama akikubali ushauri na kufuata katiba usiwajibike kula matapishi! Mh. Rais anaweza pia kuongoza baraza jipya alilo chagua na kuliapisha!
 
Tunatesekaje sasa? Just a figment of your imagination.

Acha kujibunia mambo kichwani mwako ambayo hayana uhalisia wowote ule.

Mimi kwa mfano niteseke na nini hasa? Leo nimekosa siagi ya kupaka kwenye mkate au?

Labda wewe ndo ulikuwa unateseka na ndo maana sasa hivi unahisi na wengine wana hali kama uliyokuwa nayo.

Niteseke kwa lipi mimi? Nimekosa nini sasa hivi ambacho sikuwa nacho hapo awali?

Mawazo ya ajabu, ya kijinga, na ya kipumbavu kabisa hayo!

Don’t pass your insecurities over to me.

Siteseki na chochote kile.
Ukipanic mh. Nyani, Ndo mateso yako yataonekana, just relax! Kwani kuna haja ya kuwa wakili wa mwendazake? Labda, na ulimwanzishiwa uzi hapa kwamba, kwa halaiki ile iliyo hatarisha maisha yao (kwa ujinga tu) wakaandamana, wakakanyagana, na labda, just Labda, wakaambukizana corona, alikua anapendwa saana! Inatosha ile mkuu, usitetee tena na usiteseke pia, sasa hivi ni zama mpya na kitabu ni kipya!
 
Kwa hiyo Mama Samia hafuati katiba?
Labda hazijui hizo sheria na mwanasheria mkuu wa serikali hajamuelekeza inavyopaswa kwaajili ya kulinda ugali wake na wenzie. Au labda Chadema wanatupotosha, basi mwanasheria mkuu atoke hadharani na atufafanulie hili jambo likae sawa
 
inaonekana chadema wanadhani ktk kipindi hiki chini Mhe. Rais Samia wanaweza kupenyeza ajenda zao na zikafaulu sijui!!!!
ni ngumu sana, labda kwanza waanze kujenga mahusiano mazuri na ushirikiano wa dhati vinginevyo watasubiria sana.
hakuna litakalo wezekana bila utii kwa mamlaka na unyenyekevu, vuruvuruu ndio inawa cost kila siku.
ndio maaana Hayati JPM aliwapotezea maaana aliamini kuwa hawana nia njema na serikali yake.
chadema mkitaka kweli kuijenga nchi yetu basi onyesheni utii na ushirikiano wa kujenga nchi, acheni malumbano yasiyo na tija. sote ni watanzania tuijenge nchi yetu kwa kutanguliza uzalendo mbele.
hakuna mshindi ktk kuijenga nchi bali kuna adui asiye itakia mema nchi yetu.
nchi ni yetu sote tuijenge nchi yetu sote kwa pamoja.
katika kipindi chote cha magu mmekuwa watu wa ajabu sana,mligeuza halali zote kuwa haramu, mkishauriwa haramu,mkiambiwa ukweli haramu,mkionyeshwa njia haramu,ujangili ukawa uzalendo kila kitu mkabinua mpaka na akili.
m
Mwenzenu kwa taarifa zilizopo alitubu kabla hajaondoka, mmeachiwa zigo la ujinga na bado mnaling'ang'ania!
na kama hamja msoma mama ni mtu tofauti sana ana tone ya maridhiano mliorithi ubabe mtakufa na kiholo mwaka huu.
 
Hili jambo limesemwa na TLS na sasa CHADEMA wamelirudia, linatia ukakasi kwenye matumizi sheria katika kuliongoza Taifa. Sijawasikia ACT na vyama vvingine pamoja na CCM, wao wana maoni gani?
 
Ukipanic mh. Nyani, Ndo mateso yako yataonekana, just relax! Kwani kuna haja ya kuwa wakili wa mwendazake? Labda, na ulimwanzishiwa uzi hapa kwamba, kwa halaiki ile iliyo hatarisha maisha yao (kwa ujinga tu) wakaandamana, wakakanyagana, na labda, just Labda, wakaambukizana corona, alikua anapendwa saana! Inatosha ile mkuu, usitetee tena na usiteseke pia, sasa hivi ni zama mpya na kitabu ni kipya!
Mna imaginations za ajabu kweli.

Nahisi nyinyi ndo huwa mnateseka.

Mimi niteseke kwa lipi?

Sijawahi kuwa mtumishi wa Magufuli.

Kibinafsi, simjui na hakunijua.

Sijawahi kuwa mtumishi wa serikali na kamwe sitokuja kuwa.

Najitegemea mwenyewe.

Sijawahi kupata handout yoyote ile toka kwa serikali yoyote ile.

Sijanufaika na chochote kile kutokana na urais wa Magu

Maisha yangu hayajabadilika kwa lolote lile.

Sasa cha kunitesa ni kipi? Waweza kunitajia?

Yaani kabisa umekaa hapo ulipo na kujiaminisha kwamba Ngabu anateseka?

Magufuli nimemkosoa sana humu JF. Unabisha?

Wewe uliteseka wakati Magufuli akiwa Rais?
 
Kwani hawa wanaitambua hii serikali iliyopo madarakani mbona siwaelewi.

Ila katiba mbona imefuatwa au lazima tuyumbishe gari kwanza [emoji23][emoji23] hlf tuendeleeView attachment 1737654View attachment 1737657View attachment 1737655View attachment 1737656View attachment 1737658
Kweli vijana wa uvccm mna tatizo la uelewa. Hapo kinachoongelewa ni kuwa "mtu atakayetekeleza kazi kazi na shughuli za rais" Maana yake ni mtu atakayetekeleza kazi za rais (kukaimu) akiwa hayupo kwa muda. Mama samiaanatekeleza kazi kama rais na sio Kaimu rais.
 
Kuzidi wewe mpuuzi! aliyekuwa anawapa viburi vya kijinga hayupo tena, wenzako akili zimeanza kurudi
Unacoment kama vile chadema mko madarakani!

Hii ni ccm, Magufuli alikuwa ccm na Samia ni ccm, hiyo mitazamo mnayojaribu kuitengeneza sijui inawafaidishaje, ila ninachojua ccm ni ile ile chini ya mfumo uleule kama unabisha subiri 2025 uone utakavyogongwa
 
Back
Top Bottom