CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Una haki na kila sabab ya kuandamana ktk mfumo wa kidemokrasia lakini ewe kijana mwenzangu unajitambua? Unajua unaandamana kwa ajili ya Nan? Unajua madhara ya kuandamana? Una nguvu ya kiuchum na kimabav endapo akitokea mmoja akanza uhuni halafu mkapigwa,Nan atakutibu? Je umetumwa au akili Yako? Unayepambana naye unammudu? Ni haki ya kila mtu lakini msifate mkumbo maana majuto ni mjukuu"
 
Attachments

  • 1726833461104.jpg
    425.4 KB · Views: 2
Ni kweli haya mauaji na utekaji yanaleta hasira lakini pia samiamustgo hikuwa smart move.
 
Eti kurudisha watu!! Hovyo kabisa nyie!! Huko fulana zenu mmeandika must go, wajinga nyie, mnatetea ugali wa Mbowe, Lissu, Lema na Mnyika!! Pumbav zenu!!
 
Tunajua kila kitu, Wakiua hawa na wao watakufa kabla ya Wiki 1 na wanajua hivyo, Sasa acha waue ili nao wafe, Tanzania mpya inakuja
 
Hii serikali ya huyu mama inaua kila anayewapinga, Waliokataa huyu mama kuwa Rais Walifahamu kuliko sisi
 
Eti kurudisha watu!! Hovyo kabisa nyie!! Huko fulana zenu mmeandika must go, wajinga nyie, mnatetea ugali wa Mbowe, Lissu, Lema na Mnyika!! Pumbav zenu!!
Kumuua Soka wewe umefaidika na nini?
 
Yes,nakubali.

Ushahidi wa hilo wewe kumbuka tuh walivyomdhalilisha Lowasa marehem pale mwembe yanga kwa kumweka kwenye list of shame.

Kisha out of nowhere wanarudi na kumpa kijiti cha kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chao.
Wezi tu hao, wanapenda sana kupata uhalali wa kuja na hoja zenye masikitiko na huruma, kukubalika kwao kunatokana na udhaifu wa kiuongozi unaojitokeza mara kwa mara.

Kwenye maandamano hawampati mtu.
 
Wezi tu hao, wanapenda sana kupata uhalali wa kuja na hoja zenye masikitiko na huruma, kukubalika kwao kunatokana na udhaifu wa kiuongozi unaojitokeza mara kwa mara.

Kwenye maandamano hawampati mtu.

..hivi unaamini kwa dhati kabisa Ccm sio wezi?

..kati ya wapinzani, na Ccm, upande upi umewaibia zaidi Watanzania?
 
Attachments

  • chadema_022308.png
    95.9 KB · Views: 2
..hivi unaamini kwa dhati kabisa Ccm sio wezi?

..kati ya wapinzani, na Ccm, upande upi umewaibia zaidi Watanzania?
CCM wanachokifanya kwa mapana yake kinaonekana. Huko CHADEMA kuna wezi pia tatizo ni kwamba bado hawajapewa madaraka ya kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…