Magufuli hakuwaita ikulu kwenye uchumba anajua hawa wanafungwa ....haiwezekani Tue na watu wanapingana na matakwa ya serikali madarakani.....hawa wanafungwa leo waage makwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kurukia mada na kuunganisha vitu visivyosawa. Ishu ya mauaji ya Akwilina ni tofauti na kesi inayowakabili akina Mbowe na wenzake. Kiini cha kesi ya Mbowe na wenzie ni hiki kwenye clip hapa chini.Waliomuua Akwilina wameshitakiwa kwenye mahakama ipi ?
Kuweka kumbukumbu sawa, kesi inayowakabili si ya mauaji ya Akwilina kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha. Tuache kusema uongo hata kwenye vitu ambavyo vipo wazi. Unapotaka serikali au mahakama itende haki basi tujifunze nasi kutenda haki katika kuandika vitu vilivyo sahihi.
Hiki kwenye clip hapa chini ndio kiini cha kesi ya Mbowe na viongozi wenzake
Watakuwa wamekosea sanaZipo za juu ambazo zina ukweli kuwa Mbowe ana uwezekano mkubwa wa kwenda jela ila hao wengine wataachiwa huru. Kwa vyovyote vile kesho Mbowe ajiandae kisaikolojia! Ametiwa hatiani kwa kosa la kuamuru maandamano haramu na kusababisha kifo!
Chadema inao utaratibu wa kikatiba , mbowe akiuawa ( kama inavyopangwa ) , au akifungwa miaka 100 , katiba ya chadema inayo majibuWakuu!
Sina Mengi lakini nasema kamanda Mbowe Andaa Mrithi Wako Atakae Simamia Chama
Habari hii iwekwe kwenye Kumbukumbu kua Mbowe aandae Mwenyekiti Mpya Wa Chama.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani watafungwa miaka mingapi?
Kwann usiseme kiini ni nini umekomaa na clip tu cjui ndo unejifu za leo ku-upload clips jf.Acha kurukia mada na kuunganisha vitu visivyosawa. Ishu ya mauaji ya Akwilina ni tofauti na kesi inayowakabili akina Mbowe na wenzake. Kiini cha kesi ya Mbowe na wenzie ni hiki kwenye clip hapa chini.
deletedWakuu!
Sina Mengi lakini nasema kamanda Mbowe Andaa Mrithi Wako Atakae Simamia Chama
Habari hii iwekwe kwenye Kumbukumbu kua Mbowe aandae Mwenyekiti Mpya Wa Chama.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani kuna umhimu wa kuwakumbusha nyinyi mliolewa madaraka kwamba ICC haijafa, na jinsi Tanzania ilivyokaa sasa hivi, mwelekeo wa kwenda huko upo wazi sana.Nendeni mkavunjwe miguu,halafu mnapelekwa polisi mnawekwa masaa 12,mpaka mkifika hospitali guu limeoza linakatwa
Mazuzu kama wewe hujui ICC inafanyaje kaziNadhani kuna umhimu wa kuwakumbusha nyinyi mliolewa madaraka kwamba ICC haijafa, na jinsi Tanzania ilivyokaa sasa hivi, mwelekeo wa kwenda huko upo wazi sana.
Hakuna kiini tofauti na hichoKwann usiseme kiini ni nini umekomaa na clip tu cjui ndo unejifu za leo ku-upload clips jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dynamic zimebadirika sana katika kipindi cha miezi 2.Magufuli hakuwaita ikulu kwenye uchumba anajua hawa wanafungwa ....haiwezekani Tue na watu wanapingana na matakwa ya serikali madarakani.....hawa wanafungwa leo waage makwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kufungwa. Bwana Mashinji ameshaenda ule upande wa ucukuman hivyo hata adhabu itakuwa dilutedView attachment 1382089
View attachment 1382090
Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya waliopewa kesi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.
Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .
Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.
View attachment 1382102
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE