CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

wana hofu na mabeberu kwa hiyo watawaachia huru
 
1. Kutakua na shughli au tukio litakalo fanywa na serikali. Mfano mtu kutumbuliwa, habari mbaya, au tukio ambalo litakua live TBC.

2. Wana chadema watakua mahakamani kusikiliza kesi.

3. Tanzania itaandika ukurasa mpya kwa kuwafunga jela viongozi wengi wa siasa kwa pamoja.

4. Mbatia atakua na tukio kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi kufungwa. Nimefuatilua ushahidi wa upande wa mashtaka kuanzia siku ya kwanza, haujitoshelezi kuwatia hatanı kwa mashtaka waliyowafungulia. Ushahidi wa askari polisi ni wa kukinzana.
 
Tabutupu,
Hi ni nji ya mafununu na matukio ya kutengeneza ili KUHAMISHA AKILI ZA WABONGO kwenye main agenda or pressing issue...!

Yawezekana kesho kukawa na songombingo za hapa na pale....! Si ajabu hata hili la Mzee Mangula KULISHWA SUMU ni katika moja ya mikakati hiyo.,....!!
Tusubiri!
 
Kuchitimbo,
Sijaona ushahidi unao watia hatianı. Mwenendo wa kesi ulitawaliwa na ushahidi unao kinzana. Natabiri itakuwa discussed in favour ya viongozi wa CDM
 
Sijaona ushahidi unao watia hatianı. Mwenendo wa kesi ulitawaliwa na ushahidi unao kinzana. Natabiri itakuwa discussed in favour ya viongozi wa CDM
Tuombee hilo mkuu, cha muhimu zaidi hii taarifa ya Mambosasa isije kuhamisha raia wakajikita kuijadili zaidi na kusahau kupima hukumu itakayotolewa kesho.
 
Wakihukumiwa adhabu yoyote mf. kufungwa japo watakata rufaa lkn itakuwa ni aibu kubwa sana kwa mhimili husika kwenye historia ya tanzania
 
Lolote laweza kutokea, tumeshuhudia muhili ukipewa maelekezo kuwashughulikia ndani mjengoni, pia muhimili huu muhimu mara kadhaa maamuzi kesi tata ,mfano Sugu.... watu kunyimwa dhamana kina Lema, Mbowe, Matiko.... wache waendeleze njaa zao kwa heshima ya mtu, kwa garama kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu. Wananchi si wajinga wanaona na kufatilia kila hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafaruku unakaribia nchini Kuna kundi kubwa la waajiriwa watakuwa hawana kazi (police). Watawekwa sero za kijeshi, soon tutaongozwa kwa kipindi Cha mpito na kamati ya kijeshi.

Tumeyataka wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ni mwema siku zote, tunawaomba Mahakimu watoe hukumu inayozingatia sheria bila kupendelea upande wowote. Mungu awatangulie Wote katika hukumu hii.

 
Wakihukumiwa adhabu yoyote mf. kufungwa japo watakata rufaa lkn itakuwa ni aibu kubwa sana kwa mhimili husika kwenye historia ya tanzania
Ukimfahamu Jaji Mkuu wa Tanzania utagundua kwamba ndiye jaji mkuu duni kabisa kwa sasa duniani , akifuatiwa kwa karibu na jaji mkuu wa Nchi ya Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…