CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
‪LEO KATIKA HISTORIA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Mei 28, 20 ( 640 X 640 ).jpg

Ifuatayo ni orodha ya Wajumbe wa mwanzo kabisa wa Mkutano mkuu

Miaka 28 ya Chadema... happy birthday kwa chama chetu. ( 608 X 640 ).jpg

Instagram media - CAnPeukAoK1 ( 640 X 640 ).jpg
 
Masikini chadema wanasherehekea kuzaliwa kwa chadema huku wameweka matanga!! Hawajui washike lipi Kati ya hayo mawili!!
 
Umeiba kwenye post yangu maana hata huwa hamjui ilianzishwa lini, unakuja usiku huu na kipost mbuzi
Pole sana shabiki wa ccm , maana kwenye wenye ccm haumo , lakini sijasoma post yako popote na wala huwa sihangaiki na viuzi unavyoanzisha , nilishakupuuza kitambo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani Hadi saa hii Hakuna happy birthday ya chadema replies Hadi Sasa kumi tu na views 84 tu saa tatu hi ya usiku wakati mada uliianzisha saa 12 jioni !! Kweli Wana Chadema wamesusa chama .Mleta mada mnasema mna wanachama milioni sita!!! Happy birthday chadema hamna Ni wewe tu mleta mada unajichekesha na kucheka mwenyewe.ona takwimu za replies na views ndio ujue chadema mna Hali mbaya Tena siku hii ya birthday

Mwenye macho haambiwi tazama
 
Miaka 28 ni mingi sana kufanya mageuzi ya kweli. Nashidwa kukubali kama Chadema imetimiza hilo lengo.
 
Masikini chadema wanasherehekea kuzaliwa kwa chadema huku wameweka matanga!! Hawajui washike lipi Kati ya hayo mawili!!
Hawamo.humu wamesusa hawatoi happy birthday fikiria mleta mada kaiweka saa 12 jioni saa hii saa tatu usiku ana views 85 na replies 11 tu Tena nyingi zetu CCM !!!
 
Yaani Hadi saa hii Hakuna happy birthday ya chadema replies Hadi Sasa kumi tu na views 84 tu saa tatu hi ya usiku wakati mada uliianzisha saa 12 jioni !! Kweli Wana Chadema wamesusa chama .Mleta mada mnasema mna wanachama milioni sita!!! Happy birthday chadema hamna Ni wewe tu mleta mada unajichekesha na kucheka mwenyewe.ona takwimu za replies na views ndio ujue chadema mna Hali mbaya Tena siku hii ya birthday

Mwenye macho haambiwi tazama
Masahihisho - Chadema ina wanachama mil 12, 670 , 553 hii ni hesabu ya hadi march 25 2020
 
Back
Top Bottom