CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

Wachumia TUMBO Mkuu wanajua sana nini kinahitajika kufanyika Nchini kwetu ili kuleta UHURU NA HAKI ya kweli kwa Watanzania wote bila kujali itikadi, dini au rangi lakini huamua KUJITOA UFAHAMU kwa kumuogopa dikteta.

Mwingine huyu hapa Mkuu lakini leo hii hawezi KUTHUBUTU kutetea tume huru ya uchaguzi.


Aiseee !
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabudi huyu ndio huyuhuyu wa sasa ?
Ukisema hivyo Ccm watasema mangapi?

Mangapi waliyosimamia wapinzani wakitoka wanageuka?

Tusiende mbali jana tu Lijualikali ambaye aliamini Cdm ni mahali salama leo anasema Marafiki wa Mbowe hawakatwi michango

Wanasiasa kwa ujumla akili zenu mavi
 
Yeah! So what! There is NOTHING we can do as dictator is in power and all important institutions in our country are in his back pocket.

Just remember what HAPPENED to all African dictators including Idi Amin, Bokassa, Nguesso, Bashiru, Abacha, Mubarak and so many other dictators in Africa and around the World.

Iko siku isiyokuwa na jina Watanzania wataamua kusema huu UPUUZI unaoendelea nchini mwetu kwa miaka mingi sasa basi LIWALO NA LIWE.


Dictactorship in Tanzania? Ass...ole
 
Back
Top Bottom