CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

Wewe ni TAAHIRA tu unayeona bilioni 8 wakati huo huo UNAKWEPA ukweli kuhusu trillions 2.7 zilizoibiwa Ikulu na majizi ndani ya ccm na Serikali.

Pia trillions zilizochotwa hazina bila idhini ya Bunge na kutumiwa kiholela na CAG KUZUILIWA na dikteta ili ASIKAGUE kuhusu matumizi ya pesa hizo.

MBWA KOKO kama wewe ni hasara kubwa kwa Tanzania kwani mnatetea wizi wa mchana kweupe unaofanywa na majizi ya ccm na serikali.

Eti wezi wameshughulikiwa wakati umeshindwa kuleta USHAHIDI wowote ule wa majizi ya trillions kushughulikiwa na kauli za hao majizi mengine Bashiru na polepole ZINATHIBITISHA kwamba wamezuiwa kuwataja hayo majizi.

Toa UPUMBAVU WAKO muongo mkubwa wewe.
We una akili timamu? Au unajifurahisha PAC haikutoa majibu bungeni? Hao waliozuiliwa kutajwa nia akina nani. Kama unajua kwa nini hauwataji?
Mbona Waitara ametaja madudu ya Mowe hadharani. Weka hayo majina hadharani. Sio kupiga kelele kama mwehu.
 
Kuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .

Mimi unayenitukana kila siku hapa ni tajiri wa kitanzania ninayemiliki viwanda kadhaa ( siyo cherehani 4 ) , na nimeajiri watanzania wenzangu zaidi ya 300 na sijawapunguza hata baada ya uchumi wa Tanzania kuporomoka kwa kasi ya radi .

Tunafanya siasa za ukombozi , hatutafuti hela maana tayari tunazo za kutosha mno .

Chukua haya maneno uwapelekee na masikini wenzio ili waelewe .
Waambie waambie mkuu...leo mbowe ana nyanyaswa na wanyarwanda kisa tu wana madaraka...historia ya nchi hii watu wameichezea sana
 
Waambie waambie mkuu...leo mbowe ana nyanyaswa na wanyarwanda kisa tu wana madaraka...historia ya nchi hii watu wameichezea sana
Instagram media - CAnPeukAoK1 ( 640 X 640 ).jpg
 
Ni faida gani imeengizia nchi na ni hasara gani imeiingizia nchi
 
Back
Top Bottom