YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Makubwa Sasa hivi ni masaa 12 toka ulipopost mada yako ya kuitakia happy birthday chademaMasahihisho - Chadema ina wanachama mil 12, 670 , 553 hii ni hesabu ya hadi march 25 2020
Katika wanachama wako unaosema chadema inao milioni 12 na laki 6 Ni mmoja tu aliyeungana na wewe kuitakia happy birthday chadema kwenye Uzi wako
Likes ulizopata kwa Uzi wako wa happy birthday chadema ni tano tu .Yaani katika wanachama milioni kumi.na mbili na laki sita watu watano tu ndio wamependa ulichoandika Cha kuitakia happy birthday chadema.Watu watano tu
Meseji Ni nini? Ni kuwa Chadema ina Hali mbaya .Hizi takwimu zipitie hata wewe mwenyewe uhakiki
Chama chenye idadi.hiyo siku ya birthday kupata watu wawili tu wewe na mtu mwingine mmoja tu wa kukipa happy birthday Ni serious case kuwa Chadema iko taabani.Huu Uzi wako mpelekee Mbowe mwambie hi ndio Hali halisi wana chadema hawana mpango hata na birthday ya chadema
Umewatakia happy birthday ya chama aliyeitikia mmoja tu Kati ya wanachama unaoota milioni 12 na laki sita shame on you na chadema
Takwimu hazidanganyi