Kuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .
Mimi unayenitukana kila siku hapa ni tajiri wa kitanzania ninayemiliki viwanda kadhaa ( siyo cherehani 4 ) , na nimeajiri watanzania wenzangu zaidi ya 300 na sijawapunguza hata baada ya uchumi wa Tanzania kuporomoka kwa kasi ya radi .
Tunafanya siasa za ukombozi , hatutafuti hela maana tayari tunazo za kutosha mno .
Chukua haya maneno uwapelekee na masikini wenzio ili waelewe .