BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
MBWA KOKO na WAPUMBAVU kama wewe ndiyo matatizo makubwa ya UOZO kuendelea Nchini kwetu kunakofanywa na hilo kundi la majizi na wahuni kwa miaka chungu nzima sasa. Hao PAC ni WAHUNI tu dikteta kawaweka MFUKONI hawawezi hata kufurukuta. CAG Assad hakukosea aliposema Tanzania ina Bunge DHAIFU lakini MBWA KOKO unayeishi kwa KUTUPIWA MAKOMBO na mabwana zako HULIONI hili la UDHAIFU MKUBWA wa Bunge likiwa kimya huku UOZO wa kila aina ukiendelea kukithiri Nchini.
Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU
Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU
We una akili timamu? Au unajifurahisha PAC haikutoa majibu bungeni? Hao waliozuiliwa kutajwa nia akina nani. Kama unajua kwa nini hauwataji?
Mbona Waitara ametaja madudu ya Mowe hadharani. Weka hayo majina hadharani. Sio kupiga kelele kama mwehu.