kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Ww una kufa liniNa kifo chake ni October mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww una kufa liniNa kifo chake ni October mwaka huu
Njoo uchukueBillion za michango ya wabunge ziko wapi?
ccm ndo genge la wahuni ww, au umeongelea vaice versaAnguko lenu laja kwa mshindo mkuu,hili genge la kihuni watanzania wamelishitukia
Nccr mageuzi uliondoka ? Maana kutwa nzima vigelegele ni ccm tu ..Wabunge na wanachama wengi watahama Chadema. October hamapati hata diwani wakuwapa ruzuku.
We una akili timamu? Au unajifurahisha PAC haikutoa majibu bungeni? Hao waliozuiliwa kutajwa nia akina nani. Kama unajua kwa nini hauwataji?Wewe ni TAAHIRA tu unayeona bilioni 8 wakati huo huo UNAKWEPA ukweli kuhusu trillions 2.7 zilizoibiwa Ikulu na majizi ndani ya ccm na Serikali.
Pia trillions zilizochotwa hazina bila idhini ya Bunge na kutumiwa kiholela na CAG KUZUILIWA na dikteta ili ASIKAGUE kuhusu matumizi ya pesa hizo.
MBWA KOKO kama wewe ni hasara kubwa kwa Tanzania kwani mnatetea wizi wa mchana kweupe unaofanywa na majizi ya ccm na serikali.
Eti wezi wameshughulikiwa wakati umeshindwa kuleta USHAHIDI wowote ule wa majizi ya trillions kushughulikiwa na kauli za hao majizi mengine Bashiru na polepole ZINATHIBITISHA kwamba wamezuiwa kuwataja hayo majizi.
Toa UPUMBAVU WAKO muongo mkubwa wewe.
Nilikuambia nimeondoka?Nccr mageuzi uliondoka ? Maana kutwa nzima vigelegele ni ccm tu ..
Waambie waambie mkuu...leo mbowe ana nyanyaswa na wanyarwanda kisa tu wana madaraka...historia ya nchi hii watu wameichezea sanaKuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .
Mimi unayenitukana kila siku hapa ni tajiri wa kitanzania ninayemiliki viwanda kadhaa ( siyo cherehani 4 ) , na nimeajiri watanzania wenzangu zaidi ya 300 na sijawapunguza hata baada ya uchumi wa Tanzania kuporomoka kwa kasi ya radi .
Tunafanya siasa za ukombozi , hatutafuti hela maana tayari tunazo za kutosha mno .
Chukua haya maneno uwapelekee na masikini wenzio ili waelewe .
Umesahau??Nilikuambia nimeondoka?
Nilikuambia nimeondoka Nccr mageuzi? Mimi sio pinga pinga.Umesahau??
Waambie waambie mkuu...leo mbowe ana nyanyaswa na wanyarwanda kisa tu wana madaraka...historia ya nchi hii watu wameichezea sana
Mkuu hicho kikosi kazi weeacha tu Kamanda... lumumba wakiziona hzo sura wanatamani hata aridhi ipasuke wapotee kbs lkn dola ndo ina walinda
kama vichaa jua kali simple clothes haya magwanda kama wehu!!
ukisikia ng'weeee ujue tayari !kama vichaa jua kali simple clothes haya magwanda kama wehu!!
Hahahaaaaukisikia ng'weeee ujue tayari !
Naomba kuuliza kaz ya uenez chadema hufanywa na nan maana sioni katika mfumo wa uongoz cheo cha katibu mweneziView attachment 1461679
Ifuatayo ni orodha ya Wajumbe wa mwanzo kabisa wa Mkutano mkuu
View attachment 1461681
View attachment 1462369
Ni faida gani imeengizia nchi na ni hasara gani imeiingizia nchi
Steven Wasirra aliwahi kutabiri the same matokeo yake kafa yeye.Na kifo chake ni October mwaka huu
Steven Wasirra aliwahi kutabiri the same matokeo yake kafa yeye.