Kwa na vyama vingine viige kukodisha ofisi aisee?Hongereni sana CHADEMA. Mmeonyesha njia kwa Vyama vingine.
Kwa na vyama vingine viige kukodisha ofisi aisee?Hongereni sana CHADEMA. Mmeonyesha njia kwa Vyama vingine.
Mungu angusha laana kwa hili genge linajiita chademaMungu Ibariki Chadema
Mara zote dua za kijinga zinarudi zilikotoka , jiandae kwa laanaMungu angusha laana kwa hili genge linajiita chadema
Tuwape maua yaoWamejitahidi 😂
umetumia akili za kwenye uteleziUsije kuwa ule mchango wa kujenga kanisa aliotoa Rais mchaga kauhamishia huku
Wanahangaika tu!kipara kipya kuna jamaa wana utani na wewe huku.
Nakuona hapo umenga'ngania funguo za geti ili uweke mabenchi yako ya kiwi!Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.
Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.
Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.
Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
KWANI CCM INA OFISI YA KWAKE? UWE NA AKILI KICHWANI, HAYO NI MAJNGO YA SERIKALI WAKATI WA CHAMA KIMOJ. CHADEMA IKIINGIA AU CHAMA CHOCHOTE CHA MAANA KIKIINGIA MADARAKANI KITARUDISHA MAJENGO YOTE SERIKALINI NA VIWANJA VYOTE.Halafu tukawape nchi waongoze sasa si watajenga ofisi kabla ya kurudi kwa wananchi
Ukweli wasiotaka kuusikia Lumumba fcHao waliokuwa wanapiga kelele kuhusu ofisi Chadema, wamesahau kuwa Chadema ilikuwa inajenga majengo makubwa ya ofisi ndani ya vichwa vyetu. Na imefanikiwa sana
Mkuu ukiona comment yangu hata usipaniki akili ninazo labda ww uwe na uelewa usiweke hisia kali kwenye vyana hao chadema wakichukua nchi bado ccm itatawalaKWANI CCM INA OFISI YA KWAKE? UWE NA AKILI KICHWANI, HAYO NI MAJNGO YA SERIKALI WAKATI WA CHAMA KIMOJ. CHADEMA IKIINGIA AU CHAMA CHOCHOTE CHA MAANA KIKIINGIA MADARAKANI KITARUDISHA MAJENGO YOTE SERIKALINI NA VIWANJA VYOTE.
LAANA IWAANGUKIE BABA YAKO NA MAMA YAKO WALIOZAA TAKATAKA KAMA WEWEMungu angusha laana kwa hili genge linajiita chadema
Una akili za kimasikiniUsije kuwa ule mchango wa kujenga kanisa aliotoa Rais mchaga kauhamishia huku
Jibu hoja kwani kataja wazazi wako!LAANA IWAANGUKIE BABA YAKO NA MAMA YAKO WALIOZAA TAKATAKA KAMA WEWE
Mungu ana kazi nyingi, hawezi kuhangaika na vitu visivyoelewekaMungu Ibariki Chadema