UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Tumepigwa 😢Utaishia kulia kwa sauti ya Jiwe
Tumepigwa 😢Utaishia kulia kwa sauti ya Jiwe
nikushikishe ukuta kwenye icho chumba kukizindua rasmi.Wewe ulitakaje kwa mfano?
Sio.😎Hivi ukimwi nao ni Magonjwa mtambuka?
Sasa hapo si wamenunua Chief. Na zingatia hapo ni mikocheni sio huko porinCHADEMA kwenye suala la Ofisi mnashindwa akili hata na Mwijaku!
Sasa hilo jengo unaona ni design ya Ofisi?!
Mnapenda sana short cuts ambazo ni wrong cuts!
Kwa miaka 30 umechangia sh? Ili chama kijiendesheBaada ya miaka thelathini hii ndio ofisi yenye hqdhi?
Na hilo wanalijua hasa ndio maana kila mbinu zitafanyika kuhakikisha upinzani hauchukui nchi.KWANI CCM INA OFISI YA KWAKE? UWE NA AKILI KICHWANI, HAYO NI MAJNGO YA SERIKALI WAKATI WA CHAMA KIMOJ. CHADEMA IKIINGIA AU CHAMA CHOCHOTE CHA MAANA KIKIINGIA MADARAKANI KITARUDISHA MAJENGO YOTE SERIKALINI NA VIWANJA VYOTE.
NYUMBU ya mtu ndiyo mdudu gani tenaOfisi au nyumbu ya mtu?
viti maalum wa safari ijayo wataipata master bedroom ofisini kwa chairman Taifa, si kuna choo na bafu 🐒Kajinyonge basi
BAwacha chumba cha wageni dah 🐒Kapige mswaki kwanza mzee maana kwako ni asubuhi
GoodPamoja sana ndugu manzanita mengi yanakuja
Nyie mbona mnanunua ma v8 wakati wananchi wanakufa njaa? Miaka 60 sasa, ni lini mtarudi kwa wananchi?Halafu tukawape nchi waongoze sasa si watajenga ofisi kabla ya kurudi kwa wananchi
Inakuuma eee?Kwaihiyo sasa master bedroom ndio itakuwa ofisi ya Mwenyekiti Taifa, choo na bafu vya mwenye nyumba wa mwanzo right?
Ofisini ya makamu mwenyekiti itakuwa chumba cha watoto, ya katibu mkuu itakuwa chumba cha wasichana au wavulana na halafu ya BAwacha ofisi yao itakuwa chumba cha wageni kama sikosei maana hiyo ilikuwa nyumba ya familia sio ofisi au wamejipangaje?
Halafu hizo rangi za geti mbona hamjabadili au ndio mkae kwanza kupitisha bajeti [emoji205]
inauma sana ndrugu yangu leo unaongea vizuri tu hata kutamka maneno unatamka vizuri Mathalani neno sasa siku iyo itakua thatha, kabisa itakua kabithaa taya zimepishana uko kitandani kiuno kimelegezwa 🤭Inakuuma eee?