UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Mkuu, hiyo nyumba imekodishwa toka kwa nani? Isije ikawa tunapigwa!
Hapa wamenunua au wsmepanga Kama wamepanga ni ufujaji wa Pesa ya Rudhuku.Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.
Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.
Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.
Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
Kwa hiyo hii ni Mali ya CHAMA na wanatoka kwenye upangaji, au siyo?Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.
Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.
Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.
Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
Hawezi kuonekana maana bundle alilipewa mwisho ilikuwa saa 8 mchanakipara kipya kuna jamaa wana utani na wewe huku.
Tumia akili Yako kwenye mambo ya msingi. Moja ya Watanzania wenye akili zenye tope ni wewe.Usije kuwa ule mchango wa kujenga kanisa aliotoa Rais mchaga kauhamishia huku
Kapige mswaki kwanza mzee maana kwako ni asubuhiKwaihiyo sasa master bedroom ndio itakuwa ofisi ya Mwenyekiti Taifa, choo na bafu vya mwenye nyumba wa mwanzo right?
Ofisini ya makamu mwenyekiti itakuwa chumba cha watoto, ya katibu mkuu itakuwa chumba cha wasichana au wavulana na halafu ya BAwacha ofisi yao itakuwa chumba cha wageni kama sikosei maana hiyo ilikuwa nyumba ya familia sio ofisi au wamejipangaje?
Halafu hizo rangi za geti mbona hamjabadili au ndio mkae kwanza kupitisha bajeti [emoji205]
Ila nyie watu wa chadema cjui mna akili za namna gani, yn hamjawahi kukosa sababu ya kukimbia matatizo yenu. Nyie ni WapumbavuChadema ilikuwa inajenga majengo makubwa ya ofisi ndani ya vichwa vyetu.